Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Samia yanaumiza sana hawa wajinga wa chadema.Wanaompinga Rais Samia ni mafisadi, majizi,wauza madawa ya kulevya na wapiga dili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Samia yanaumiza sana hawa wajinga wa chadema.Wanaompinga Rais Samia ni mafisadi, majizi,wauza madawa ya kulevya na wapiga dili.
Yaaani unasepa na 3,000/= ya umeme? Utasepa nyumba ngapi kisa pesa ndogo kama hiyo ya kununulia dagaa?kwenye nyumba za kupanga itakuwa hasara tupu watu watakopa na kusepa
Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila miji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?Ni wapi nimezungumzia mkopo wa laki moja? Vodacom wanatoa mkopo wa laki moja kwa mara moja? Ndio maana nimesema anayeweze kuruhisiwa napenda kupongeza shirika la Tanesco kwa kazi inayofanya ila nina maoni :kwanza Tanesco imejikita kusambaza umeme vijijini lakini miji na wilaya ikiachwa bila mipango ya kusambaza umeme,katika miji na wilaya kuna kaya nyingi ambazo hazijasambaziwa umeme na hii ni kwa sababu Tanesco inasubiri watu wakaombe umeme ofice za Tanesco wilaya husika na wakifika mlolongo unakuwa mrefu Mara kuna afisa atakwenda kutathimini nguzo ngapi na kila nguzo ni 300,000/ halafu ndiyo ukalipie nguzo utakazoambiwa,lakini tatizo lina kuja pia wilaya haina store za vifaa vya kuunganisha wateja ,store Mara nyingi zipo mkoani na mkoani unaweza kukuta vifaa havitoshi hivyo inachukua muda mrefu kumuunganishia mteja.
Huu pia ni ushauri mzuri. Asante sana mkuu.Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila miji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?
MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mpaka wiring.
Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha kaya ngapi katika miji na wilaya umeme.kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime .tatu naomba waajiriwe maafisa mauzo kila wilaya ili waweze kufanya sensa kaya ambazo hazina umeme ili zisambaziwe umeme ,pia wilaya ziwe na store za vifaa siyo mpaka vifaa mkoani hii inachelewesha kuunganisha mteja.kama haiwezekani kulipa 27,000 basi waje na mpango wa kukopesha wateja kwani idara ya maji wameweza hili.waziri anahubiri umeme wa 27,000 lakini watendaji wanasema hiyo ni ndani ya mita 30 tu baada ya hizo mita ni nguzo moja 27,000 na kuendelea. MOBISOL Wameweza kukopesha umeme mpaka wa 4,000,000 je tanesco wanashindwa nini kukopesha wateja wao watakao tumia umeme milele?
Asante Samia umejua kuwatumikia Watanzania 2025 tutakupa kura zote.Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Samia yanaumiza sana hawa wajinga wa chadema.
Kwa sasa kifurushi kinakatwa juu kwa juu.Eeh we huwajui wabongo wewe! Kama Mpesa na Tigopesa walianza kununua vifurushi juu kwa juu ili mtu asilipe 1500 tu unaona watashindwa kutumia vibatari kweli
Rais Samia hata asingepiga kampeni mwaka jana 2020 ushindi ulikuwa ni 90%. Rafiki zetu wa CHADEMA waliula wa chuya na hawakupata hata wabunge 5 tu.Asante Samia umejua kuwatumikia Watanzania 2025 tutakupa kura zote.
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.Rais Samia hata asingepiga kampeni mwaka jana 2020 ushindi ulikuwa ni 90%. Rafiki zetu wa CHADEMA waliula wa chuya na hawakupata hata wabunge 5 tu.
Ninavyojua Rais Samia anatembea kwenye viatu vya wazalendo kama mzee Kikwete na mwalimu Nyerere.Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
Rais Samia anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.Ninavyojua Rais Samia anatembea kwenye viatu vya wazalendo kama mzee Kikwete na mwalimu Nyerere.
Ulivyopewa karatasi ya kura mwaka jana 2020 ulihakikisha umempa alama ya vema Rais Samia?Rais Samia anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.Ulivyopewa karatasi ya kura mwaka jana 2020 ulihakikisha umempa alama ya vema Rais Samia?
Wanaompinga Rais Samia ni mafisadi, majizi,wauza madawa ya kulevya na wapiga dili.
President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.
Sawa mkuuPresident Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.