Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

Wameandika uongo mtupu, Walikua wapi kukata toka zamani


Mwizi ni mwizi Tu
 
Wabongo mnaishia kulalamika tu kwenye kila kitu na mikwara kibao ila hamna kitu mnaweza fanya

kulalamika bila kuchukua hatua ni bora mkae kimya
 
Hapa ndipo utaona akili fupi za viongozi wa nchi hii. Yeyote aliyefanya maamuzi haya hafahamu kabisa kama amejipiga risasi mguuni. Kwani kitendo hichi cha kupandisha kodi ya huduma muhimu inayofikia asilimia kubwa ya wananchi, ni kuwaambia jinsi gani haufai kuwepo madarakani.

Au labda watakuwa wamefanya makusudi sababu wanajua asilimia kubwa ya wananchi ni wajinga na wapumbavu hivyo hawatofanya chochote. Au wanataka kucheza mchezo wa kutengeneza tatizo, alafu unalitatua ili uonekane shujaa mbele ya wananchi. Ukilinganisha washasema TRA haihusiki na ukusanyaji tozo kupitia LUKU.

Assuming I overestimate their intelligence capacity. I say this is an early win in grand scheme of things.
 
Back
Top Bottom