Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki zingine kufanya manunuzi ya umeme sambamba na mawakala wa kuuza umeme waliopo nchi nzima.
Wataalamu wa mitandao husika na benki yenye changamoto wanaendelea na jitihada za kurekebisha changamoto iliyoijitokeza ili kuwezesha manunuzi ya umeme kurejea kwenye hali yake ya kawaida.
Wataalamu wa mitandao husika na benki yenye changamoto wanaendelea na jitihada za kurekebisha changamoto iliyoijitokeza ili kuwezesha manunuzi ya umeme kurejea kwenye hali yake ya kawaida.