Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Wakuu
====
Nimeona tangazo la Tanesco kuwa wateja tunatumia grid ya taifa hatuna umeme hii inamaanisha kama nchi tupo gizani a total blackout!
kwa takwimu ni mikoa 3 ambayo haijaunganishwa na Grid ya Taifa, Kagera, Tunduma na Mtwara pia
Je ulipo kuna umeme?
====
Jumapili, 29 Juni, 2025.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linauataarifu umma kuwa mnamo majira ya saa 02:36 asubuhi, kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa ambayo imesababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na Gridi hiyo.
Timu yetu ya wataalamu inafuatilia kwa karibu ili kubaini chanzo halisi cha hitilafu hiyo na kuhakikisha huduma ya umeme inarejea haraka.
TANESCO inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea na inawaomba wananchi waendelee kuwa wavumilivu wakati juhudi za kurejesha huduma zikiendelea.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA
TANESCO MAKAO MAKUU
DODOMA