Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hakuna mwenye uwezo huoWenzio wanamajenereta
Hakuna mwenye uwezo huoWenzio wanamajenereta
HakunaWenzio wanamajenereta
Ni kweli basiItakuwa hivyo maana tangu asubuhi hamna kitu
Lazima unitukane, kwanini unatusi? Ndivyo ulivyolelewa?Kila siku? Ht jana ulikatika? Km umekata tamaa ya kuishi jimalize au katafute nchi ya kuishi we bwege
Kwa hiyo treni ya kwendokasi nayo itakuwa imesimama?
Hii biashara mi naishangaa sana huku kwetu ni chaka ziwan lakin kuna library kama tano wana jenereta hadi huwa nashindwa kuelewa,Hakuna mwenye uwezo huo
Unajua kiswahili?Jana kulikua na hitilafu ndugu
Hapo ni mtiti aiseeDaaah sasa inakuaje hapa na nilitegemeq pesa ya chai tapata hapa na nishaagiza chapati marage na mayai