TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme

TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme

year 2025 bado umeme unakatika kwenye gridi bila indication system kutoa maelezo. Tuache kununua landcruiser tuwekeze kwenye teknolojia this is too much for a 62 year old independent rich than western country.

Na injina mkuu yupo ofisini na koti anavaa. Its shameful.
 
Hii blackout ni Countrywide kiukweli tunaomba Tanesco mjipange mana, Nishati ni moja ya Vitu vinavyoinda Usalama wa Taifa letu

kuwa Giza for more then 2 hours nchi nzima sio sawa kabisa
 
Back
Top Bottom