TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme

TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme

Hii biashara mi naishangaa sana huku kwetu ni chaka ziwan lakin kuna library kama tano wana jenereta hadi huwa nashindwa kuelewa,

Cha ajabu kama leo hii watawasha hzo jenereta hata zaidi ya masaa 6,afu bei ya petrol ni 3100

Nazan kuna watu wanafanyaga biashara bila kupiga hata hesabu ingawaje wanafanikiwa hvyo hvyo

Huku hata wachaji simu baadhi huwa wanawasha majenereta na wakat simu anachaji kwa tsh.200 afu simu kujaa zinatumia zaidi ya masaa 2
Mkuu biashara ni strategy mi kuna mambo siwezi kufanya according na scale ya biashara yangu..

Yaani mtu unachoma mafuta kisa library si wazimu huo...sasa watu umeme hakuna ww unawasha generator hizo muvi wao wataangalia wapi
 
sasa huku njombe na hii baridi, heater za umemeeeeee😂😂
 
Nguvu hivyo uliyoitumia sasa ihamishie October kuweka alama ya vema kwa mama yetu mpendwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaah
 
Ukute upo lodge au guest bubu fulani na bibi ameshasaula upo katikati ya mechi kijasho kinakutoka ukivumilia harufu ya mwandani wa mwenzako au kikwapa chako na umeme kwishne utakuta athumani kichwa kidogo anasinyaa
Athuman hasinyai kibwege
 
Tuwarudishie Manguzo Yao
Tutumie solar na generator
Wajikatie wenyewe
 
Back
Top Bottom