Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Daa nzima hakuna banaNyie ushuani uko.
Daa nzima hakuna banaNyie ushuani uko.
Typing error afandeNakutafuta
Gomz naona kama wanatuonea tuu maana haka kamkoa tulikataa kuungwa kwa grid ya taifaLeo jau sana kaka. Najua Gomz yote itakua dark.
You will find youTyping error afande
Shirika la umeme halijawahi kuwagawa watanzaniaNyie ushuani uko.
Daaah sasa inakuaje hapa na nilitegemeq pesa ya chai tapata hapa na nishaagiza chapati marage na mayaiLeo mmepewa likizo kwa lazima
Nafikiri ni kwa baadhi ya maeneo
Lipi unaloongelea mkuu?Shirika la umeme halijawahi kuwagawa watanzani
Sasa kwanini kwengine uwepo ilihali dar nzima tunatumia umeme wa gridShirika la umeme halijawahi kuwagawa watanzani
Wenzio wanamajeneretaWakuu sasa sisi waingiza miziki jumla na reja reja leo hatufanyi biashara sasa au..?
Si ndio hilo hapo mkuu umewekewa kakaKwa mda Gani? Ni siku nzima au ? Maana sijaona tangazo
Elewa ni hivyo! Kwa ni ni hivyo mekuSasa kwanini kwengine uwepo ilihali dar nzima tunatumia umeme wa grid
Itakuwa hivyo maana tangu asubuhi hamna kituNyie kumbe mpo greed ya taifa mkuu..?
Kila siku? Ht jana ulikatika? Km umekata tamaa ya kuishi jimalize au katafute nchi ya kuishi we bwegeKila siku hitilafu tu. Nchi ya Hovyo sana Hii!
Timu ya watalamu wako kutatua changamoto ni mambo ya kisayansiLipi unaloongelea mkuu?