Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Sanangula hapa ziiiiiiHuku mpitimbi hakuna.
Nafikiri ni kwa baadhi ya maeneoDar naona giza kila kona.
Jana kulikua na hitilafu nduguKila siku hitilafu tu. Nchi ya Hovyo sana Hii!
Sawa mkuu tajitahidiWatengeneze upesi
NakutafutaKila siku hitilafu tu. Nchi ya Hovyo sana Hii!
Nyie ushuani uko.Nafikiri ni kwa baadhi ya maeneo
Leo mmepewa likizo kwa lazimaWakuu sasa sisi waingiza miziki jumla na reja reja leo hatufanyi biashara sasa au..?
Nyie kumbe mpo greed ya taifa mkuu..?Naona Green City pia hakuna stima
Leo jau sana kaka. Najua Gomz yote itakua dark.Wakuu sasa sisi waingiza miziki jumla na reja reja leo hatufanyi biashara sasa au..?