TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme.

Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba

Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta.

Imeniuma sana.

Nimesikitika

CCM ni watu wa hovyo wanaopaswa kulaniwa na kila Mtanzania
 
Wapumbavu sana,kwakweli wamenikera mnoo, nimepambana nakimbiza Gari kama mwehu nafika nyumbani wamekata,nimekaa hapa toka saa 9 nasubiria hakuna Umeme Derby inanipita naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…