Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme.
Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba
Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta.
Imeniuma sana.
Nimesikitika
CCM ni watu wa hovyo wanaopaswa kulaniwa na kila Mtanzania