Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

Jamaa yupo smart sana.. Sema watu tuna tabia ya kupenda kuangalia mabaya ya watu.. hatujui mazuri wala hatutaki kuona mazuri yake ndio shida ipo hapo.. But jamaa yupo smart sana
Usmart wake uko wapi au labda usema kwa kuvaa vizuri
 
Nimepata mjua makamba 2014 .ukweli jamaa standard zake za utendaji kazi ni zile za ulaya kanyooka sana.kifupi tulikuwa tunamwita mzungu hata ugali nyama anaomba umma na kisu .kila saa msafi kama waarabu wa dubai nanhupendelea mashati meupe.hapa dada nakuelewa kwa huu utendaji wa tanesco wasingempenda .
Japo sababu ya kutolewa kuu ni wizi Kala sana 10% hata za chini mama alipochanwa alimnunia akawa hapokei simu aliemuokoa ni babake mzazi na kikwete .ila mama hafurahishwi nae
 
"Hafurahishwi nae" halafu kampa wizara ya mambo ya nje?
 
"Hafurahishwi nae" halafu kampa wizara ya mambo ya nje?
Mambo ya uongozi kwa level za urais sio mepesi ndo maana kabla mtu hajaapishwa urais anakuwa na mdomo sana juu ya watangulizi msubiri akae ikulu miez 6 .huwa anaanza waelewa sana .mama leo anaelewa kwa nn magu alizuia mikutano ya hadhara na tayari kaanza kuteka watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…