joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nimesoma sijaona hiyo sehemu,labda ww uliona tuwekee au niambie ipo page namba fulani au landa nawe ulisimuliwa na kulichukua hivyo hivyo kama lilivyo aka Oya Oya.Katafute mwenyewe hizo kimbukumbu.mtu kakwambia ni kumbukumbu wewe unakazana akuonyeshe.Au kwavile mlificha taarifa ndo maana unashupaza shingo hapa.