TANESCO mmeniunguzia TV yangu ya 2M

TANESCO mmeniunguzia TV yangu ya 2M

Nominii

Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
99
Reaction score
194
Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.

Mnajichukuliaje?

Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.

MREJESHO BAADA YA MADHARA
nimeshauriw nitumie kifaa kinaitwa AVR/surge protector japo alieniuzia TV anasem haijaungua ni imezima cjui nn uko kun kakifaa kipo kw TV wanajua wenyew wataalam kinapima umeme ukizid kinaungua icho tu badala ya TV nzima hapa nampelekea kikabadilishwe
 
Nikajua hii Leo kwetu tu kumbe na huko ,....
Ni mwendo wa
kata washa .....
Washa kata.....
Katakata washa.....
Washa katakata......
Washa kata washa .....
Washa kata Zima kata.......
Kataaaa halafu Zima washa....
🚮
 
Sema Chai .
2395f74b20b2a69f25a4c4066064d6a8-833164857.gif
 
Bora wewe mimi nimeunguziwa ya Samsung smart 22.5 millions kwenye bar yangu ya masaki😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom