mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu ni kununua tv ya 2m!Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.
Mnajichukuliaje?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.
MREJESHO BAADA YA MADHARA
nimeshauriw nitumie kifaa kinaitwa AVR/surge protector japo alieniuzia TV anasem haijaungua ni imezima cjui nn uko kun kakifaa kipo kw TV wanajua wenyew wataalam kinapima umeme ukizid kinaungua icho tu badala ya TV nzima hapa nampelekea kikabadilishwe
wameanza last week ....Hivi wanafunzi wa field wamesharudi vyuoni??
Unatumia Vifaa vya Electronics bila ya protection? Not Wise Mimi mfumo wangu wa vitu vya Electronics kutoa pasi na vyakupigia umepitia kwenye Stabilizer, stabilizer zipo za size tofauti tofauti calculate total wattage ya vifaa vyako nenda kanunue kabla hujalia tena.Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.
Mnajichukuliaje?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.
MREJESHO BAADA YA MADHARA
nimeshauriw nitumie kifaa kinaitwa AVR/surge protector japo alieniuzia TV anasem haijaungua ni imezima cjui nn uko kun kakifaa kipo kw TV wanajua wenyew wataalam kinapima umeme ukizid kinaungua icho tu badala ya TV nzima hapa nampelekea kikabadilishwe
Acha wivu weweUpumbavu ni kununua tv ya 2m!
Jiwekee hazina Mbinguni, acha ujinga!
Weka risiti hapa tukusaidie, matusi hayalipi.Tabia za kimbea hizi, kwani tv ya 2m inaitaji mtu wa aina gani? Kuna wauza nyama hawajui kusoma wana Hardtop za 200m, mjinga kweli wewe
mbona mim nimepachika guard ya 15k na mambo yanaenda fresh tu? Umeme ukiingia kwa kasi vifaa vinajizima direct. Kabla ya hapo nimeunguza sana nikiamin zile extention zenye gad kwamba zinaweza kucontrol moto.Mkuu zile tv guard ni za 15k usije ukafanya huo ujinga siku nyingine!
Huyu nshomile wa ajabu kabisa, anajivuna kuwa na TV ya 2m huku akishindwa kununua surge protector...Pole nshomile sasa tv ya 2m haina tv guard !
Automatic Voltage Regulator maarufu Stabilizer!Avr ni nini?
AVRTv guard nzuri ni powermatic 7. Hii hata ukiigonga gonga inakata moto. Ukiitikisa tu inakata. Hata zile za tronic sio nzuri sijawahi ona zikijizima
wameanza last week ....
Nimemwambia dogo sitaki ukafanyie field Tanesco ,tutagombana Bure.....