Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.
Mnajichukuliaje?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.
Juzi nilikua namwambia mtu umuhimu wa stablizer akawa anakaza fuvu
🤣🤣Tanesco ni hasara sana
Uandushi huu unaonesha hiyo Tv haukuinunua dukani, inaonekana ni ya magumashi ksma unabisha weka risiti hapa ili usaidiwe kulipwa.
Karibu.
mkuu sio 80 tu ipo ya 150k lakn nayo haijaelew kilichotojea mkuu umeme umerud mwing vibaya san mpk soket brek ikakata huko pengine madhara yangeongezek
Then huu ni uongo, unajua guard inavyofanya kazi?????? Pumbavu kabisa, hairuhusu umeke uende moja kwa moja kwenye tv.
Ndo maana ina red, orange and green, na zote hizo uchukua mda just incase pana zarura, sasa basi, nachosema....
Kama umeme umerudi, na umeishia kwenye circuit breaker ukawaka, ikakata ina maana imeme wenye hiyo zoruba hauwezi ifiokia tv kwa sababubta timing ya red, orange na green.
Natangaza rasmi, uzi ufungwe hii ni:
Mkuu zile tv guard ni za 15k usije ukafanya huo ujinga siku nyingine!mkuu nilipewa TV gurd buureee kama offer ya manunuz nimeiweka apo ukutan lakn waaap
[emoji3][emoji3] tatizo nchi ina umaskini mkubwa sana, kitu cha kawaida mtu anakwambia chai, unabaki unacheka!Tabia za kimbea hizi, kwani tv ya 2m inaitaji mtu wa aina gani? Kuna wauza nyama hawajui kusoma wana Hardtop za 200m, mjinga kweli wewe
nimeshauriw nitumie kifaa kinaitwa AVR japo alieniuzia TV anasem haijaungua ni imezima cjui nn uko kun kakifaa kipo kw TV kinapima umeme ukizid kinaungua icho tu badala ya TV nzima hapa nampelekea kikabadilishweMkuu zile tv guard ni za 15k usije ukafanya huo ujinga siku nyingine!
Safi. Ukifanikiwa tupe mrejeshonimeshauriw nitumie kifaa kinaitwa AVR japo alieniuzia TV anasem haijaungua ni imezima cjui nn uko kun kakifaa kipo kw TV kinapima umeme ukizid kinaungua icho tu badala ya TV nzima hapa nampelekea kikabadilishwe
Avr ni nini?Kila siku mnaambiwa nunueni AVR,hizo TV guard zenyewe ni utopolo mtupu.
AVR ya 1.5KVA utalinda vifaa hata vitatu ambavyo ni sensitive to electrical surge.
Kuna muda pia stabilizer anashindwaJuzi nilikua namwambia mtu umuhimu wa stablizer akawa anakaza fuvu
Nikajua hii Leo kwetu tu kumbe na huko ,....
Ni mwendo wa
kata washa .....
Washa kata.....
Katakata washa.....
Washa katakata......
Washa kata washa .....
Washa kata Zima kata.......
Kataaaa halafu Zima washa....
[emoji706]