Pole nshomile sasa tv ya 2m haina tv guard !Ndan ya dak 5 umekatw umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua. mnajichukuliaje ?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme kama gigy
nina zenu
Uandushi huu unaonesha hiyo Tv haukuinunua dukani, inaonekana ni ya magumashi ksma unabisha weka risiti hapa ili usaidiwe kulipwa.Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.
Mnajichukuliaje?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.
Maji yana matope na takataka nyingine hayafai kuzalishia umeme 😂😂Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.
Mnajichukuliaje?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.
Sema Chai .
Wanakera sio kidogo 😃😃
Washamkera mtu hapo tayari 😂Wanakera sio kidogo 😃😃
Yani we acha tuWashamkera mtu hapo tayari 😂
Wamelipua TV 😂Yani we acha tu
Asa sijui wataangalia nini😃Wamelipua TV 😂
Wataangalia Giza kwenye kioo😂😆Asa sijui wataangalia nini😃