TANESCO mmeniunguzia TV yangu ya 2M

Tv guard nzuri ni powermatic 7. Hii hata ukiigonga gonga inakata moto. Ukiitikisa tu inakata. Hata zile za tronic sio nzuri sijawahi ona zikijizima
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    8 KB · Views: 12
  • P6CE_V3_a84e53d8-bdfc-42b1-b32e-7fb8dabd7e30_grande.png
    27.4 KB · Views: 9
  • images (4).jpeg
    29.4 KB · Views: 11
Upumbavu ni kununua tv ya 2m!
Jiwekee hazina Mbinguni, acha ujinga!
 
Unatumia Vifaa vya Electronics bila ya protection? Not Wise Mimi mfumo wangu wa vitu vya Electronics kutoa pasi na vyakupigia umepitia kwenye Stabilizer, stabilizer zipo za size tofauti tofauti calculate total wattage ya vifaa vyako nenda kanunue kabla hujalia tena.
 
Mimi nina stabilizer nina tv guard lakin juzi tv yang samsung inches 43 imeungua pia.kinachozingua ni surge.stabilizer,tv guard ni utopolo tu.
 
Mkuu zile tv guard ni za 15k usije ukafanya huo ujinga siku nyingine!
mbona mim nimepachika guard ya 15k na mambo yanaenda fresh tu? Umeme ukiingia kwa kasi vifaa vinajizima direct. Kabla ya hapo nimeunguza sana nikiamin zile extention zenye gad kwamba zinaweza kucontrol moto.
 
Najiuliza hili shirika kwann tusiwape hata wakenya waliendeshe?Maana ni shamba la bibi,shirika linaloongoza kuwa na vishoka,viongozi wake hawana maono,na nasikitika tuliwasomesha vyuo Kwa Kodi yetu.
 
Wanafanya marekebisho wasameheni kwa usumbufu uliojitokeza
 
Lile shirika nahisi limelaaniwa.
 
Tv guard nzuri ni powermatic 7. Hii hata ukiigonga gonga inakata moto. Ukiitikisa tu inakata. Hata zile za tronic sio nzuri sijawahi ona zikijizima
AVR
 

Attachments

  • IMG_20231207_125110_5.jpg
    341.2 KB · Views: 11
Ukilipwa wewe utakuwa mtanzania wa kwanza kulipwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…