TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu?

Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
 
Jamaa nikawa namuuliza kwann mnakata umrme anatoa sababu za kiwaki anasema mvua inaharibu mistimu hv wapo katika ubadilishaji wa nguzo kuja kuwa za zege
Duhh nina rafkiangu wa kike anafanya kazi tanesco huwa amasema wao hata hawahusiki na kukata umeme anashangaa watu wakimuona wanamlalamikia tu!
 
Duhh nina rafkiangu wa kike anafanya kazi tanesco huwa amasema wao hata hawahusiki na kukata umeme anashangaa watu wakimuona wanamlalamikia tu!
Ni sawa na mimi hapa watu wakiniona wanalalamikia kihusu mishangazi as mi mishangazi wote nawajua et
 
Back
Top Bottom