Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Havina uhusiano! Kwani huyo jamaa ndio anatoa amri umeme ukatwe?Tanesco juzi nilikua nae jamaa jau sana aiseee
Jamaa nikawa namuuliza kwann mnakata umrme anatoa sababu za kiwaki anasema mvua inaharibu mistimu hv wapo katika ubadilishaji wa nguzo kuja kuwa za zegeHavina uhusiano! Kwani huyo jamaa ndio anatoa amri umeme ukatwe?
Duhh nina rafkiangu wa kike anafanya kazi tanesco huwa amasema wao hata hawahusiki na kukata umeme anashangaa watu wakimuona wanamlalamikia tu!Jamaa nikawa namuuliza kwann mnakata umrme anatoa sababu za kiwaki anasema mvua inaharibu mistimu hv wapo katika ubadilishaji wa nguzo kuja kuwa za zege
Ni sawa na mimi hapa watu wakiniona wanalalamikia kihusu mishangazi as mi mishangazi wote nawajua etDuhh nina rafkiangu wa kike anafanya kazi tanesco huwa amasema wao hata hawahusiki na kukata umeme anashangaa watu wakimuona wanamlalamikia tu!