Ni uchafu tu kama serikali iliyopoHili shirikanni uchafu tu
Habari, ndugu mteja.Tanesco mnafanya nini ofsini
Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii
Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku
Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme
Vijana wa welding, saloon, aluminium, wafanyabiasha wa samaki mnawapa hasara mno
Kama Kuna mgao semeni ukweli
Acheni kusingizia ukarabati
Tanesco tuambieni mna chuki na sisi watu wa Kanda ziwa mnakata umeme Kanda ya ziwa ili mpeleke Zanzibar
RIP JPM
kujiunga na whatsapp kuna saidia nini tumieni hekima na akili kwamba ukinitumiabmessage hakuna huduma nafanyaje sasa kwanini msifanye maintenance usiku kama mnaogopa kuvamiwa chukueni askari wawalinde wakati kazi laleli mchana mfanye kazi usiku kubalance mambo unakataje umeme mfuluizo wa masaa, unawahi nini uku unaumiza watu.Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto unayopitia.
Tafadhali fahamu kuwa pale inapotulazimu kusitisha huduma ya umeme, iwe ni kutokana na matengenezo yaliyopangwa au hitilafu za dharura, hua tunatoa taarifa mapema iwezekanavyo kupitia njia mbalimbali za mawasiliano, hususan makundi yetu ya WhatsApp na ujumbe mfupi wa simu (SMS).
Tunaomba tukushauri ujiunga katika makundi yetu ya WhatsApp, (Utatutumia namba yako ya simu pamoja na wilaya unayoishi kupitia inbox ili tukuunge). Kupitia majukwaa hayo utakuwa ukipokea taarifa muhimu kwa wakati, na pia utakuwa na uwezo ya kuwasiliana nasi kwa urahisi zaidi ili kupata msaada wa haraka kuhusu huduma katika eneo lako.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Asante sana. ^FL
Habari, ndugu mteja. Pole sana kwa changamoto uliyoipitia.kujiunga na whatsapp kuna saidia nini tumieni hekima na akili kwamba ukinitumiabmessage hakuna huduma nafanyaje sasa kwanini msifanye maintenance usiku kama mnaogopa kuvamiwa chukueni askari wawalinde wakati kazi laleli mchana mfanye kazi usiku kubalance mambo unakataje umeme mfuluizo wa masaa, unawahi nini uku unaumiza watu.
karibu 90 percent tunafanya kazi mchana sasa ukikata mchana manake nini
acheni uvivu wa kufanya kazi usiku mkisihgizia mnajari afya ya wafanya kazi mbona hospital watu wanafanya kazi kwa shift
Tengenezeni Chanel za whatsapp kwa kila mkoa achaneni na makundi huwezi kuunga watanzania woteHabari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto unayopitia.
Tafadhali fahamu kuwa pale inapotulazimu kusitisha huduma ya umeme, iwe ni kutokana na matengenezo yaliyopangwa au hitilafu za dharura, hua tunatoa taarifa mapema iwezekanavyo kupitia njia mbalimbali za mawasiliano, hususan makundi yetu ya WhatsApp na ujumbe mfupi wa simu (SMS).
Tunaomba tukushauri ujiunga katika makundi yetu ya WhatsApp, (Utatutumia namba yako ya simu pamoja na wilaya unayoishi kupitia inbox ili tukuunge). Kupitia majukwaa hayo utakuwa ukipokea taarifa muhimu kwa wakati, na pia utakuwa na uwezo ya kuwasiliana nasi kwa urahisi zaidi ili kupata msaada wa haraka kuhusu huduma katika eneo lako.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Asante sana. ^FL
Solar ndiyo kimbilio la wanyonge Siku hiziTanesco mnafanya nini ofsini
Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii
Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku
Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme
Vijana wa welding, saloon, aluminium, wafanyabiasha wa samaki mnawapa hasara mno
Kama Kuna mgao semeni ukweli
Acheni kusingizia ukarabati
Tanesco tuambieni mna chuki na sisi watu wa Kanda ziwa mnakata umeme Kanda ya ziwa ili mpeleke Zanzibar
RIP JPM
Ndugu Ubaya Ubwela , Tumepokea maoni yako kwa utekelezaji. ^PKTengenezeni Chanel za whatsapp kwa kila mkoa achaneni na makundi huwezi kuunga watanzania wote
Habari Bangida, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja na tunaomba radhi kwa changamoto hiyo, wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inakuwa katika ubora stahiki, tunashauri mzime vifaa vya umeme hadi pale huduma itakapo kuwa sawa.^FLSasa hivi wako busy wanachezea switch, unakatwa, unarudishwa, after 4 min wanakata tena, then dk 10 wanarudisha .
Mpaka siku iishe vifaa vingi sana vitakua vimeungua
Hili shirika ni mtuHabari, ndugu mteja.