Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana.
Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa.
Mwezi ukapita, nikaenda tanesco nikakutana na afisa akaniambia Tena nisubiri Wiki mbili nitakuwa nimefikiwa.
Sasa Wiki mbil zimepita nikarudi ofisin nikaambiwa Tena kuna changamoto zimejitokeza eti nisubiri miezi miwili nitakuwa nimefikiwa. Like serious? Na ofisa anajibu hana hta huruma au kuguswa na hili Jambo.
Leo tanesko inatumia rasilim kubwa ya fedha kuitangaza app yake ya nikonect mabillion yanatumika lakni inashindwa Kutatua changamoto ndogo kama ya kuunganisha sehemu ya nguzo Moja. Inakkera Sana.
Tanesco badilikeni Kwa kweli hii si zama za kufanya biashara as business as usual. Na mnakwamisha jitihada kubwa ya Serikali katika kuwahudumia wananchi wake.
Nisaidieni kuwa-tag tanesco.