TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
Tuma Inbox au tuma kwa sms namba 0714219598Nitawatafuta waheshimiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma Inbox au tuma kwa sms namba 0714219598Nitawatafuta waheshimiwa.
Tunaahidi kulifanyia kazi kama utatoa ushirikiano hata kwa kutuma taarifa inbox au Sms namba 0714219598Ndio maana siwezi kutuma taarifa zangu hapa maana nyie ni wapuuzi tu kama wapuuzi wengine sasa ofisi zenu za eneo nililopo zinashindwa kuhudumia leo nitume details zangu JF ambako natumia fake ID ndo nihumiwe?
Boresheni huduma Tanesco bado kimeo sana hata app yenu kimeo nikijaribu kuangalia status ya ombi langu Oops!!
JE umelipia lini? Namba yako ya simu tafadhaliSiyo TANESCO Morogoro tu, TANESCO nchi nzima iko hivyo, hili shirika serikali ilipaswa kulibinafsisha au kuruhusu watu binafsi wazalishe na kusambazia watu umeme kama ilivyo kwa mitandao ya simu. Fikiria hadi leo tungekuwa na TTCL pekee yake ingekuwaje?, Miaka 60 ya uhuru bado vijijini watu wako gizani, ukienda kuomba umeme zaidi ya nguzo tatu wanakwambia huo ni miradi watakuhesabia mamilioni na mwananchi wa kawaida kama mkulima hata milioni moja hajawahi kushika, maana wanasema nguzo hamna wakati miti tunalima wenyewe. Sina hamu na TANESCO katika maisha yangu yote
Mimi pia niliomba kuunganishiwa umeme online sijapata control number nikalipie hadi sasa. Surveyor alishapima na ilioneka wire mita 3 unatosha kuunganisha. Pamoja na kwamba niko tayari kulipia 320,000/= bei ya sasa. Kabla ya hapo october mwaka jana 2021 nilishaomba umeme wa nyumba hii hii kwa kujaza form na surveyor alipima ikapitishwa wakati bei ikiwa 27,000/= lakini sikupigiwa simu ili nipewe control number ya kulipia.JE umelipia lini? Namba yako ya simu tafadhali
Ombi lako halijakidhi vigezo vya kuongozewa mita ya pili na limerejeshwa kwako kwa njia ya mtandaoMimi pia niliomba kuunganishiwa umeme online sijapata control number nikalipie hadi sasa. Surveyor alishapima na ilioneka wire mita 3 unatosha kuunganisha. Pamoja na kwamba niko tayari kulipia 320,000/= bei ya sasa. Kabla ya hapo october mwaka jana 2021 nilishaomba umeme wa nyumba hii hii kwa kujaza form na surveyor alipima ikapitishwa wakati bei ikiwa 27,000/= lakini sikupigiwa simu ili nipewe control number ya kulipia.
Hayo hapo chini ni maombi mapya online.
Ndugu Mteja Ombi lako la kuunganishiwa umeme limepokelewa, Namba ya ombi U140622-27801 limewasilishwa ofisi ya TANESCO. Tutawasiliana na wewe kwaajili ya kukamilisha baadhi ya taarifa.
Mkandarasi uliyemchagua amekamilisha kujaza taarifa zako na kuwasilisha TANESCO, subiri kupimiwa na kupatiwa namba ya kumbukumbu ya malipo. TANESCO.
Surveyor alishapima tayari siku nyingi.
Nimewapenda kwa kujali kwenu.Ndugu Mteja!
Usihuzunike, usiumie TANESCO ipo kukusikiliza na kukupatia huduma, Tafadhali onesha Namba ya ombi lako au namba ya simu na sisi tutakupatia huduma husika.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
Nikonekt Kilichobora kutoka TANESCO.
Sio kweliOmbi lako halijakidhi vigezo vya kuongozewa mita ya pili na limerejeshwa kwako kwa njia ya mtandao
TANESCO ni shida sana..Nimeamini tanesco nchi zima mko saresare MaUa..
Mosi Nimewapigia kuuliza suàla langu. Cha ajabu huyu muhudumu hakutaka kujua hta natokea morogoro seem Gani?
Pili akanambia kama tanesco mkoa coz me Niko hapa manispaa wamenijibu nisubirie miez miwili wenyewe hawawez kulazimisha eti nipate huduma mapema Kwa Sababu hawa ndo wenye bajeti na wanajua Hali iliyopo.
Sasa najiuliza hii customer care kaz yake ni Nini? Kwa Nini wasjipe hata Muda wa kufuatilia ombi la mteja na changmoto yKe ni Nini? Ili mteja apate jibu la uhakika.
Nimeungana na wasomaji wengine Kuwa tanesco hamna Msaada wowote ulë Kwa wateja wenu Hasa wakikwama Huku chini.
Ngja niendlee kuhesab siku. Kwani najua hata hii miez miwili inaweza Kuwa ngumu.
Ila najuta hii hela ningefanyia Jambo lingne tu. Investment nzur yoyote ni Ile inayoenda vizur kulingana na timeline ya mwekezaji.
Ngja niendlee kusikiliza matangazo ya nikonect tu
Hongera kwa kukujali. Ulitumia TZS ngapi?Mm niko Morogoro, niliomba umeme tr 28 Apri 22, nikafungiwa tar 14 may 2022. Nilifuata taratibu kama kawaida sikutoa chochote na wala sikumjua yeyote. Nilihitaji nguzo 2 na things went on very well and efficiently.
Surveyor alipita haraka haraka bila kuangalia vizuri na kujiridhisha. Aliyemkuta hakumuonyesha na nyumba nyingine ya nyuma ambayo ita share umeme na hapo penye chumba master, sebule na jiko.Sio kweli
Tunaomba mkundi CCT mtusaidie kumalizia kuweka nguzo za umeme, ili na sisi tufurahie mwanga wa umeme jamanii!! Tunateseka na hivi vitaa vya solar mweeee [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ndugu Mteja
Bado tunasubiri taarifa za lalamiko lako kwa hatua zaidi kwa kuwa ni haki yako kupata huduma.
Nshawacheki inbox naomben feedbackNdugu Mteja
Bado tunasubiri taarifa za lalamiko lako kwa hatua zaidi kwa kuwa ni haki yako kupata huduma.
Ndugu Mteja!
Usihuzunike, usiumie TANESCO ipo kukusikiliza na kukupatia huduma, Tafadhali onesha Namba ya ombi lako au namba ya simu na sisi tutakupatia huduma husika.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
Nikonekt Kilichobora kutoka TANESCO.