Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

Tunaahidi kulifanyia kazi kama utatoa ushirikiano hata kwa kutuma taarifa inbox au Sms namba 0714219598

Tupo kukusikiliza na kukuhudumia
 
JE umelipia lini? Namba yako ya simu tafadhali
 
JE umelipia lini? Namba yako ya simu tafadhali
Mimi pia niliomba kuunganishiwa umeme online sijapata control number nikalipie hadi sasa. Surveyor alishapima na ilioneka wire mita 3 unatosha kuunganisha. Pamoja na kwamba niko tayari kulipia 320,000/= bei ya sasa. Kabla ya hapo october mwaka jana 2021 nilishaomba umeme wa nyumba hii hii kwa kujaza form na surveyor alipima ikapitishwa wakati bei ikiwa 27,000/= lakini sikupigiwa simu ili nipewe control number ya kulipia.

Hayo hapo chini ni maombi mapya online.

Ndugu Mteja Ombi lako la kuunganishiwa umeme limepokelewa, Namba ya ombi U140622-27801 limewasilishwa ofisi ya TANESCO. Tutawasiliana na wewe kwaajili ya kukamilisha baadhi ya taarifa.

Mkandarasi uliyemchagua amekamilisha kujaza taarifa zako na kuwasilisha TANESCO, subiri kupimiwa na kupatiwa namba ya kumbukumbu ya malipo. TANESCO.

Surveyor alishapima tayari siku nyingi.
 
Ombi lako halijakidhi vigezo vya kuongozewa mita ya pili na limerejeshwa kwako kwa njia ya mtandao
 
Nimewapenda kwa kujali kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tanesko kigoma mnanini hii Hali itaendelea mpaka lini mnakata umeme masaa 6 kwetu tu Kila siku lazima mkate umeme.


Hili Jambo limekua too much sasa niwakati wa kuliweka bayana Kama hapa kigoma maeneo ya ujiji kuanzia mtaa wa lake Tanganyika

kushuka Hadi kagera umeme hakuna Ila huko line police,maweni,mwanga,gungu,katonga,kibirizi,mjimwema, namaeneo mengine umeme unawaka ujiji mnatuonea sana jamani au kwakua hatuna bar na gesti..??
 
TANESCO ni shida sana..
Sijui kwa nini serikali haijabinafsisha hili shirika!
Shirika Lina monopoly ya biashara lkn halieleweki🙄
 
Mm niko Morogoro, niliomba umeme tr 28 Apri 22, nikafungiwa tar 14 may 2022. Nilifuata taratibu kama kawaida sikutoa chochote na wala sikumjua yeyote. Nilihitaji nguzo 2 na things went on very well and efficiently.
 
Mm niko Morogoro, niliomba umeme tr 28 Apri 22, nikafungiwa tar 14 may 2022. Nilifuata taratibu kama kawaida sikutoa chochote na wala sikumjua yeyote. Nilihitaji nguzo 2 na things went on very well and efficiently.
Hongera kwa kukujali. Ulitumia TZS ngapi?
 
Ndugu Mteja

Bado tunasubiri taarifa za lalamiko lako kwa hatua zaidi kwa kuwa ni haki yako kupata huduma.
Tunaomba mkundi CCT mtusaidie kumalizia kuweka nguzo za umeme, ili na sisi tufurahie mwanga wa umeme jamanii!! Tunateseka na hivi vitaa vya solar mweeee [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…