TANESCO MOROGORO: Umeme unakata na kurudi mara ya 23 hii ndani ya dakika 45

TANESCO MOROGORO: Umeme unakata na kurudi mara ya 23 hii ndani ya dakika 45

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa?

Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki hizi za hivi karibuni mnalichezea rafu sana.

Acheni upumbavu kama kuna hitilafu kateni rekebisheni kwanza ndiyo mrejeshe huduma kenge wakubwa ninyi. Mmeharibu mashine zangu sasa.
 
Pinguza ukali wa maneno, anko. Kuwa mvumilivu, hii ndiyo Tanzania yetu sote.
 
Back
Top Bottom