Kazi iendelee...Tegeta wameshauchukua
Mama yuko kazini..
Mama anaupiga mwingi..
Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi iendelee...Tegeta wameshauchukua
Kwanini kubinafsisa Kila kitu wakati wapo Chadema Wana uwezo wa kuongoza nchi!? Tuichagueni Chadema nchi itakuwa stableHakuna shirika la umma lisilohitaji kubinafsishwa. La sivyo ni majanga. Kinachotakiwa ni mikataba mizuri.
Nashawishika kuamini kua haya majizi yanatafuta ground za ku_justify uuzaji wa TANESCO kama yalivyofanya kwenye bandariMajangili yashajipanga.
Utafiti huo unaendelea au niseme ni endelevu tangia Januari atangaze kumwaga matrillioni kurakabisha gridi la umeme.
Si watuonyeshe tu hiyo MOU ya Dubai kuliko kutufedhehesha na mazingaombwe haya. Kwanini tunajiwekea doa la "Kutokuweza" ? Wanakera sana hawa majangili.
Rudisheni Kadi za Uanachama za CCM muone kama umeme haurudi na bei ikawa poa kabisa.
Muwapeleke Kariakoo
Nadiriki kusema, Ndivyo hivyo. Kwamba wanafanya haya mazingaombwe kuhalalisha Ugawiaji wa Tanesco.Nashawishika kuamini kua haya majizi yanatafuta ground za ku_justify uuzaji wa TANESCO kama yalivyofanya kwenye bandari
TANESCO ni wajinga snTANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Hapana mbona kipindi cha Dkt Magufuli’s era umeme ulikuwa haukatiki???? Maharage na wenzake anajua walichokifanyaBila kubinafsisha Tanesco hata umeme wa bwana la Nyerere ukikamilika ni shida tupu.
Hilo tatizo linasababishwa na mfumo wa utawala wa CCM!! Wao ndio wametawala mpaka sasa na matatizo yote haya lawama ni kwa CCM!! Au tuyalaumu MACHADEMA?HATUTAICHUKIA CCM BALI TUTAWACHUKIA WALIOPEWA KAZI YA KUHAKIKISHA TUNAPATA UMEME.
Habari ndugu mteja,TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Jana wameniunguzia fridge guard,,,kwa ujinga huo wa kukata kata umeme,,,TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Hiyo kukatika na kurudi kunatokana na mawimbi hasi na chanya kwenye mabwawa, mafundi makini wa Tanesco wanakaribia kulitatua hilo.TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Acheni hunafki ..umeme mmekata hivyo karibia eneo lote la Dar alafu unauliza eneo lako.Habari ndugu mteja,
tunaomba kujua eneo lako na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza
Kwa nini isiwe Mtanzania mwenye biashara binafsi ? Kwa nn unasema waruhusu Mwarabu?TANESCO Waruhusu upinzani, waruhusu waarabu kuwekeza utaona watakavyohaha.
kama unataka kuwakomesha zima vifaa vyako vya umeme vyote hawatakusumbua wala kukuunguzia vitu vyako.TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Kwa nini isiwe Mtanzania mwenye biashara binafsi ? Kwa nn unasema waruhusu Mwarabu?
Wewe mwenyeji umekuwa wa kufanyiwa kila kitu na wageni, kila siku, utakuwa kichwa panzi mpaka lini ?
Rugemalila alianzisha kiwanda cha umeme, na sio Mwarabu. Moja.Mtanzania gani wa kumzidi mwarabu kipesa? Hivi unafkiri kuanzisha umeme kama vile unafungua kiwanda cha alizeti au cherehani!
Rugemalila alianzisha kiwanda cha umeme, na sio Mwarabu. Moja.
Mbili, mwarabu hatatoa pesa mfukoni. Stieglers dam haikujengwa na hela ya mfukoni.
Tatu, Nyerere alijenga Oil Refinery, Kurasini. Hela haikutoka kwa Mwarabu. TAZARA, Kiwanda cha Matairi, mabenki, shirika la Ndege na Gati nane za bandari. Hakujengewa na Mwarabu.
Tuondoe mawazo mgando ya kutegemea Mwarabu awajengee nchi. Au matajiri wa nje. Panueni fikra za vichwa vyenu.
Napinga kutegemea Mwarabu, sasa napenda vya bure kivipi ??Una penda vya bure sio!
Ila kumtegemea mzungu ni sawa sio!Napinga kutegemea Mwarabu, sasa napenda vya bure kivipi ??