TANESCO mtatuunguzia vitu

TANESCO mtatuunguzia vitu

Majangili yashajipanga.

Utafiti huo unaendelea au niseme ni endelevu tangia Januari atangaze kumwaga matrillioni kurakabisha gridi la umeme.

Si watuonyeshe tu hiyo MOU ya Dubai kuliko kutufedhehesha na mazingaombwe haya. Kwanini tunajiwekea doa la "Kutokuweza" ? Wanakera sana hawa majangili.

Rudisheni Kadi za Uanachama za CCM muone kama umeme haurudi na bei ikawa poa kabisa.

Muwapeleke Kariakoo
Nashawishika kuamini kua haya majizi yanatafuta ground za ku_justify uuzaji wa TANESCO kama yalivyofanya kwenye bandari
 
Nadiriki kusema, Ndivyo hivyo. Kwamba wanafanya haya mazingaombwe kuhalalisha Ugawiaji wa Tanesco.

Hata wakiiuza sawa, lakini kucheza na psyche za watu ndi hatari kabisa, hili suala la kutufanya kuwa "Hatuwezi" sikubaliani nalo kabisa.

.... na tatizo ni Rushwa. It is well Documented. Uhujumu no njia nyingine za kubadilisha hearts and minds ndizo zinazotumika.

Umma ukishakereka basi utaja sikia na kuona hapa jamvini jinsi nyuzi za Kuuza Tanesco. zitakavyotiririka. Biteko awe Chonjo Tu
 
Bila kubinafsisha Tanesco hata umeme wa bwana la Nyerere ukikamilika ni shida tupu.
Hapana mbona kipindi cha Dkt Magufuli’s era umeme ulikuwa haukatiki???? Maharage na wenzake anajua walichokifanya
 
HATUTAICHUKIA CCM BALI TUTAWACHUKIA WALIOPEWA KAZI YA KUHAKIKISHA TUNAPATA UMEME.
Hilo tatizo linasababishwa na mfumo wa utawala wa CCM!! Wao ndio wametawala mpaka sasa na matatizo yote haya lawama ni kwa CCM!! Au tuyalaumu MACHADEMA?
 
TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.

Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Habari ndugu mteja,
tunaomba kujua eneo lako na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza
 
Jana wameniunguzia fridge guard,,,kwa ujinga huo wa kukata kata umeme,,,
 
TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.

Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Hiyo kukatika na kurudi kunatokana na mawimbi hasi na chanya kwenye mabwawa, mafundi makini wa Tanesco wanakaribia kulitatua hilo.
 
Habari ndugu mteja,
tunaomba kujua eneo lako na pole sana kwa usumbufu unaojitokeza
Acheni hunafki ..umeme mmekata hivyo karibia eneo lote la Dar alafu unauliza eneo lako.
.. leo mmekata umeme usiku mpaka sasa haujarudi uku Bunju. Nyie kama mnavisa na Waziri mpya msitutese sie.
 
TANESCO Waruhusu upinzani, waruhusu waarabu kuwekeza utaona watakavyohaha.
Kwa nini isiwe Mtanzania mwenye biashara binafsi ? Kwa nn unasema waruhusu Mwarabu?

Wewe mwenyeji umekuwa wa kufanyiwa kila kitu na wageni, kila siku, utakuwa kichwa panzi mpaka lini ?
 
TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.

Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
kama unataka kuwakomesha zima vifaa vyako vya umeme vyote hawatakusumbua wala kukuunguzia vitu vyako.
 
Kwa nini isiwe Mtanzania mwenye biashara binafsi ? Kwa nn unasema waruhusu Mwarabu?

Wewe mwenyeji umekuwa wa kufanyiwa kila kitu na wageni, kila siku, utakuwa kichwa panzi mpaka lini ?

Mtanzania gani wa kumzidi mwarabu kipesa? Hivi unafkiri kuanzisha umeme kama vile unafungua kiwanda cha alizeti au cherehani!
 
Rugemalila alianzisha kiwanda cha umeme, na sio Mwarabu. Moja.

Mbili, mwarabu hatatoa pesa mfukoni. Stieglers dam haikujengwa na hela ya mfukoni.

Tatu, Nyerere alijenga Oil Refinery, Kurasini. Hela haikutoka kwa Mwarabu. TAZARA, Kiwanda cha Matairi, mabenki, shirika la Ndege na Gati nane za bandari. Hakujengewa na Mwarabu.

Tuondoe mawazo mgando ya kutegemea Mwarabu awajengee nchi. Au matajiri wa nje. Panueni fikra za vichwa vyenu.
 
Una penda vya bure sio!
 
Back
Top Bottom