Tanesco na kuhadaa wananchi mara kina cha maji, mara uchakavu wa mitambo. The story will never end

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma.

Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi.

TZ bwana !! Mtu akitutukana wala sishangai
 
Walimsema magufuli eti hafanyii service mashine ndo maana walikua hawakati umeme kipindi chake, wakatenga ma billion ya kufanya service na mgao wa umeme ukaanza, wakawapa wahindi tenda ya mabilioni sijui hata wafanye nini .. sasa tatizo linazidi kua kubwa... Upigaji mtupu tu yaani
 
Daah huku wametukatia mpaka nlikua najiuliza mbona mvua zinanyesha sometimes mtu unapata hasira sanaaa asee
 
Hao viongo Zi kumamayo zao
 
Trump apewe mauwa yake.

Africa a shit hole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…