TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

Mkuu kama unataka "concrete answers from Tanesco" nadhani ukipiga simu Tanesco huduma kwa wateja watakuelewesha vizuri zaidi.

Mimi niliwapigia na wakanielewesha makato yalivyokatwa pindi nilivyonunua umeme.
Namba yao ya Huduma kwa Wateja ni janga mkuu,wala haipatikani,itabidi nitie timu ofisini kwao kesho nikipata muda.
 
Mkuu pole sana..
Lakini inaonekana kwa miezi kadhaa ulikuwa haukatwi kodi ya jengo, either walikusahau au ulikuwa ununui umeme. Na ndio sababu ya kukatwa hiyo elfu 6.
Sahihi ,inaonesha laini yake inayofahamika tanesco leo imenunua umeme wakaone isiwe tabu
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Kasome ilani
 
Hii imenikuta na mm wamenibambia deni la 6000 nikapiga simu wakasem ndiyo ipo hivo
Japo mm sidaiw na sio kwako tu kwa kifupi huu mwezi kama huna 10000 umeme hupati
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Kuna shida mahali tena kubwa kabisa. Yaani una kipato ambacho kimekuwezesha kujenga na kumiliki nyumba, ila kulipia kodi ya pango 1500 kwa mwezi unaona ni wizi. Ebu tuweni serious muda mwingine.
Tena ulitakiwa upigwe faini kwa kutolipa kodi ya pango kwa miezi minne
 
TANESCO ni chaka la wezi
 
Duu mimi nilijua ni kawaida tangu nifungiwe mita mwaka jana mwezi wa nane mwezi nakatwa sh.2000 hapa ndo nimezibuliwa masikio
 
Kuna shida mahali tena kubwa kabisa. Yaani una kipato ambacho kimekuwezesha kujenga na kumiliki nyumba, ila kulipia kodi ya pango 1500 kwa mwezi unaona ni wizi. Ebu tuweni serious muda mwingine.
Tena ulitakiwa upigwe faini kwa kutolipa kodi ya pango kwa miezi minne
Msihalalishe uovu,hata Sh.100 isiyo yako hupaswi kuichukua bila ridhaa ya mwenyewe.

Habakuki 2:6,9
6 Je! Hawa wote hawatapiga mfano juu yake, na mithali ya kusimanga juu yake, wakisema, Ole wake yeye aongezaye kisicho mali yake! Hata lini? Na ole wake yeye ajitwikaye mzigo wa rehani!
9 Ole wake yeye aipatiaye nyumba yake mapato mabaya, ili apate kukiweka kioto chake juu, apate kujiepusha na mkono wa uovu!

So even the word of God forbids it.

Mkuu halafuu,hapakuwa na makubaliano na Serikali wachukie hela zetu,it was forced on us,so it is illegal.Israel government inapanga kutunga Sheria kuhalalisha kuua Palestian prisoners,so itakuwa halali,surely not.Mkuu tunajua hizi kodi zina maana gani,labda wewe hujui.Eventually nia ni ku-tax everything you own and do,ili kutufukarisha kabisa.Even the Oxygen you breathe will be taxed,the goat,the sheep,the chicken you keep will be taxed;the Carbon Dioxide you breath,the children you have you will be taxed for.Kama huna kazi unakaa kwa baba yako,you will be taxed!Nia?Watufanye tu-own nothing.Remember they say "we will own nothing and happy." Sasa ninyi kenueni tu badala ya kuchukia hatua,this is the beginning of something worse:to strip you of all your property.This is the eventual goal of the WEF a k.a.NWO Cabal.

Kwanza watu wa kuwaamini na hela zako wako wapi,hawa hawa ambao CAG anatoa taarifa za wizi,Halafu hakuna hatua zozote zinazochukuliwa!Hapana tuna shida kubwa ndani ya serikali.
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Hii nchi kila taasisi yamejaa majuzi tu hata mimi hilo tatizo limenikumba sana.ukinunua umeme katikati ya mwezi unapewa less unit mwanzoni mwa mwezi zinapandwa kidogo.labda wanaojua shida ni nini?
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Ni huzuni. Kiwanja kinalipiwa kodi, vifaa vya ujenzi vinalipiwa kodi, nyumba inalipiwa kodi, mshahara unalipiwa kodi, magari yanalipiwa kodi kila mwaka na yanapoingia, mafuta na vipuri kodi. Kodi mawasiliano ya simu,

Maelezo ya makato ya umeme nimeya-attach hapa chini.
My questions hata hivyo ni as follows:
1.Kwa nini watoze kodi mali yangu ambayo hawajachangia chochote.
2.Kwa nini waongeze kodi kiholela bila consultations na mwenye mali.
3.Kwa nini kuwe na backlog ya makusanyo ambayo sasa yameleta mzigo mkubwa kwa Wateja wa umeme.Hapa kuna uzembe mkubwa obviously,na watu waliosababisha mtafaruku huu hawana budi kuwajibishwa.
4.Vifaa vyote nilivyotumia kujenga nyumba vimetozwa kodi,sasa nyumba nayo inatozwa kodi!No this is daylight robbery and unacceptable.
 
Attachments

  • IMG-20240703-WA0000.jpg
    IMG-20240703-WA0000.jpg
    160 KB · Views: 6
Kwahiyo hela za kwenda na akina Lamata na akina gigy money kufungua nchi kila siku unadhani ataitoa wapi
Mama upige upige mamaaa😊
 
This is a very stupid comment.Mwishoni mtalishwa hata kinyesi na mtacheka tu.
 
Ni huzuni. Kiwanja kinalipiwa kodi, vifaa vya ujenzi vinalipiwa kodi, nyumba inalipiwa kodi, mshahara unalipiwa kodi, magari yanalipiwa kodi kila mwaka na yanapoingia, mafuta na vipuri kodi. Kodi mawasiliano ya simu,
Very sad indeed
 
Nipate taarifa basi ili nijiridhishe.Eatanzania bwana, yaani mnahalalisha vitu vya ajabu,eti wanakata kodi ya jengo kwani walinisaidia kujenga?Huu ni unyang'anyi uliohalalishwa na sheria,I will never endorse it.
Nenda ofisi za tanesco zilizo karibu yako usitusumbue.
 
Hukuwa na lazima ya kusoma comment yangu mkuu.Hata hivyoo,TANESCO wameshatoa maelezo na nimeya-attach ili yasaidie wengine.Mimi sio mbinafsi kama wewe mkuu
Yawasaidie wengine kivipi. Dumb head!
Hata hao wengine wana miguu na akili ya kwenda tanesco. Kwamba wewe ni saint unawaendea tanesco.kila.mtu mwenye tatizo la luku/umeme. Acha kujichosha na kujipa umuhim bila sababu.
 
Back
Top Bottom