TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

1719991304888907770836088138365.jpg
 
Tanesco wameanza utapeli. Kumbe zile token mpya zilikua kutuongezea gharama kubwa
 
Mkuu huko nimeshapiga weee,lakini wapi,no connection.Hiyo namba ni janga mkuu.
Ndio zao,mimi ilichukua wiki 2 wakati tunawaambia waje kutoa bomba lina nyaya za umeme,kuna jirani alivunja nyumba halafu lie bomba liliokuwa na nyaya za umeme akatundika nilpokuwa nakaa,ilibidi wapangaji wote tukomae na Tanesco tu
 
Nadhani kuna haja ya Ku-switch to solar,naona monopoly imewalevya hawa watu.Tulidhani Bwawa la Nyerere litashusha bei ya umeme kama Hayati JPM alivyokuwa ameahidi, hali ndio inazidi kuwa mbaya,unbelievable.
Makato nusu kwa nusu
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Hukununua umeme kwa miezi mingi ndo maana wamechukua makato mengi
 
🤣🤣, kuna siku buku kumi itaenda na hupati unit hata moja.
 
Hivi wazenji nao wanakatwa hizi kweli au ndo wanasamehewa kama kawa kwa mgongo wa Muungano
 
🤣🤣, kuna siku buku kumi itaenda na hupati unit hata moja.
Inawezekana kabisa.Uingereza wameshaanza kukataliwa kuchukua hela zao Bank,so yes,that is coming.See here.
You remember their slogan,"They will own nothing,but happy?" Yes,this is not too far away off.
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Hawa watu sijui wanatuonaje
 
Hawa watu sijui wanatuonaje
Unajua mkuu,zombification inaendelea,so labda wameambiwa wajaribu kina cha maji na handlers wao,because there are no other words to describe what they are doing to us.
 
Msihalalishe uovu,hata Sh.100 isiyo yako hupaswi kuichukua bila ridhaa ya mwenyewe.

Habakuki 2:6,9
6 Je! Hawa wote hawatapiga mfano juu yake, na mithali ya kusimanga juu yake, wakisema, Ole wake yeye aongezaye kisicho mali yake! Hata lini? Na ole wake yeye ajitwikaye mzigo wa rehani!
9 Ole wake yeye aipatiaye nyumba yake mapato mabaya, ili apate kukiweka kioto chake juu, apate kujiepusha na mkono wa uovu!

Mkuu hapakuwa na makubiano na Serikali wachukie hela zetu,it was forced on us,so it is illegal.Israel government inapanga kutunga Sheria kuhalalisha kuua Palestian prisoners,so itakuwa halali,surely not.Mkuu tunajua hizi kodi zina maana gani,labda wewe hujui.Eventually nia ni ku-tax everything you own and do,ili kutufukarisha kabisa.Even the Oxygen you breathe will be taxed,the goat,the sheep,the chicken you keep will be taxed;the Carbon Dioxide you breath,the children you have you will be taxed for.Kama huna kazi unakaa kwa baba yako,you will be taxed!Nia?Watufanye tu-own nothing.Remember they say "we will own nothing and happy." Sasa ninyi kenueni tu badala ya kuchukia hatua,this is the beginning of something worse:to strip you of all your property.This is the eventual goal of the WEF a k.a.NWO Cabal.

Kwanza watu wa kuwaamini na hela zako wako wapi,hawa hawa ambao CAG anatoa taarifa za wizi,Halafu hakuna hatua zozote zinazochukuliwa!Hapana tuna shida kubwa ndani ya serikali.
Mpeni Kaisari yaliyo yake na Mungu yaliyo yake. Wewe kama ni mkristo suala la kodi limetolewa ufafanuzi kwenye Biblia.

Umeongea mengi ambayo labda yanaweza yakawa na maana au yasiwe sahihi kwenye hii mada. Suala la muhimu la kuhoji ni matumizi sahihi ya kodi na siyo kugoma kulipa kodi wakati una uwezo wa kulipa kodi.
Haiingii akilini una nyumba yenye thamani ya milioni 10 halafu kodi ya pango ya shilingi 1500 kwa mwezi unaona ni wizi.

Wewe kama unapinga kulipa kodi tafuta dunia yako ukaishi maana hapa duniani sidhani kama nchi ambayo hailipi kodi.

NB: Naonaga mada zako nyingi, nahisi wewe ni aina ya watu ambao EXTREMISTS.
 
TANESCO naomba maelezo ya kina nimechanganyikiwa. Siku za nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa Tsh. 10,000 nilikuwa napata units 28.I don't know what is going on, ila siku zilivyokuwa zinaendelea nimekuwa napata less and less units, na leo nimenunua umeme wa hiyo hiyo Tsh. 10,000 nimepata only 11 units.

Nawaombeni mnipe breakdown, maana kama mambo ni hivi, tutashindwa kutumia umeme.

Lipo suala la kulipia majengo, lakini hata hili sidhani kama ni fare. Kiwanja changu, hela nilizotumia kujenga ni zangu and then out of knowhere mtu anakuja anachukua asichokivujia jashokabisa, very unfair indeed.

Anyway tuyaache hayo. Receipt niliyopewa ni kama ifuatavyo.

Malipo yamekamilika. 43131657850
9001241842017439196
11.2KWH

1017 5530 7665 6083 3430

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00

Soma===>>> KERO - Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Hapo umenunua umeme wa buku 4 tuu ulikiwa unadaiwa hela ya jengo miezi minne ! So pliz usilalamike tena
 
I hate this type of language.Eti nadaiwa,wameniuzia nini au wamenipa service gani.Acheni kuhalalisha uovu.
 
Back
Top Bottom