Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana
MAelezo yapi tupate uelewa na sisi mkuuSina haja TANESCO wameshatoa maelezo ingawa hayakubaliki.
Sasa kwanini wewe umekatwa afu sitaHaya hapa chini.
Sababu wamezieleza kwenye tangazo lao la ujumla kwa uma ambalo nime-attach,ila kwa bahati mbaya katika tangazo hilo changamoto ambazo zimejitokeza zinapaswa kujibiwa specifically na Wizara ya Fedha ambao kimsingi ndio watunga sera wa Government Revenue.Kwa kweli TANESCO wao ni watekelezaji tu.TANESCO tunawapiga mawe kwa kuwa ndio tunaowaona.However the truth remains that the government is stealing from us and we do not have anybody to defend us.Sasa kwanini wewe umekatwa afu sita
kila la kheri mkuuSababu wamezieleza kwenye tangazo lao la ujumla kwa uma ambalo nime-attach,ila kwa bahati mbaya katika tangazo hilo changamoto ambazo zimejitokeza zinapaswa kujibiwa specifically na Wizara ya Fedha ambao kimsingi ndio watunga sera wa Government Revenue.Kwa kweli TANESCO wao ni watekelezaji tu.TANESCO tunawapiga mawe kwa kuwa ndio tunaowaona.
Kuna shida mahali tena kubwa kabisa. Yaani una kipato ambacho kimekuwezesha kujenga na kumiliki nyumba, ila kulipia kodi ya pango 1500 kwa mwezi unaona ni wizi. Ebu tuweni serious muda mwingine.
Tena ulitakiwa upigwe faini kwa kutolipa kodi ya pango kwa miezi minne
Punguza ujinga.Ujinga hauna faida dunia ya leo.Yawasaidie wengine kivipi. Dumb head!
Hata hao wengine wana miguu na akili ya kwenda tanesco. Kwamba wewe ni saint unawaendea tanesco.kila.mtu mwenye tatizo la luku/umeme. Acha kujichosha na kujipa umuhim bila sababu.
Jana nomenunua umeme wa 10000 wamekata 7500 wakati kila mwezi nakatwa 2000Mara yako ya mwisho kununua umeme ni mwezi gani?
Huyu mjinga a hana nayemwezi
Wewe hujawahi kununua umeme unalishwa tu. Ukinunua umeme kila mwezi unakatwa 2000 au 1500 .Mwezi wa 6 walikata hilo deni limetoka wapi?umeme
Mimi wamechukua 7500 wakati miezi ya nyuma yote wanakatausipanic