TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

Linazalisha hilo pango au? Unachukuaje kodi kwa kitu hakizalishi? Materials ya kujengea yalilipa kodi leo jengo linatozwa kodi, why? Kuna vitu vingine kama nchi tunafeli hata kama nchi zingine wanatoza pia. Jengo la biashara linalipa kodi lakini la mtu kulala na familia yake unatoza kodi ya nini?
 
jamaa ni wezi kweli kweli, maelezo yamejaa usanii mtupu
 
Duh aisee
Wewe hujawahi kununua umeme unalishwa tu. Ukinunua umeme kila mwezi unakatwa 2000 au 1500 .Mwezi wa 6 walikata hilo deni limetoka wapi?

Mimi wamechukua 7500 wakati miezi ya nyuma yote wanakat
Ndugu Mteja Tazama deni, mfano kodi ya jengo kwa kubofya *152*00# ,
Chagua 4,
Chagua tena 4,
Chagua 3,
angalia deni, ingiza namba ya mita, Chagua namba ya deni.
 

Attachments

  • 763EA4BA-DD09-4C27-A050-524096BA2FD7.png
    55.1 KB · Views: 5
9003241851825164904
Units 22.4KWH

2629 1866 1530 0953 0645


Cost 6,557.38
VAT 18% 1,180.33
EWURA 1% 65.57
REA 3% 196.72
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 10,000.00
Mbona iiko Sawa kuanzia tarehe 1 mwezi huu wanakata elfu 2,,(2000.00), hakuna atakaye kupa maelekezo vinginevyo nenda buruuuuuu ...........

Malipo yamekamilika 24218944973
9001241862111332972
3.8KWH

6292 6230 0737 1375 5870

Cost 1,123.78
VAT 18% 202.27
EWURA 1% 11.24
REA 3% 33.71
Debt Collected 2000.00
TOTAL 3,371.00
 
Ila nataka concrete answers from TANESCO,kwa kuwa sina kumbukumbu vizuri.
kama huna kumbukumbu vizuri basi hupaswi kuji mwambafy na kuwakoromea kwa kusema "nataka concrete answers"

sio kazi yao kukukumbusha madeni uliosahau.... siku ingine ukilalamika uje na concrete memory pamoja na concrete data!
 
kama huna kumbukumbu vizuri basi hupaswi kuji mwambafy na kuwakoromea kwa kusema "nataka concrete answers"

sio kazi yao kukukumbusha madeni uliosahau.... siku ingine ukilalamika uje na concrete memory pamoja na concrete data!
Si lazima nikumbuke kila kitu,what they have done now requires clarification.Na kwa taarifa yako,wameshatoa clarification ingawa haitoshelezi.Sijui huo ujasiri wa kizombi wa kuniambia sihitaji clarification unautoa wapi.Watanzania kwa uzombi wenu mtaonewa sana.
 
Uzuri wapo humu Jf waje wajibu tuhuma hizi.
Mkuu jamaa huwa wanakoroma kweli kweli,this time kimyaa.Wanajua kodi ya majengo serikali ilivyo ongeza ya Sh.500 kinyemela ni kaa la moto.Ngoja tusubiri ila wanayotufanyia wakifikiria sisi ni mazombi yata-backfire tu,kila jambo lina mwisho.
 
Sio kweli kodi ya majengo haijapanda itaendelea kuwa 1500,
Hivi mbona wewe mjinga kiasi hicho.Kodi si ilikuwa T.sh.1000 kwa jengo lisilo la ghorafa, sasa, aliwaruhusu nani kupandisha mpaka 1500?Halafuu,huu si wizi tu wa mchana kweupe,wanatoza kodi walinisaidia kujenga.Kwanza kila bidhaa niliyotumia kujengea imetozwa kodi.Yaani ni wizi wizi usiokoma.Mwisho watatoza kodi hata Mwanamke uliyenaye kodi.Denmark tayari mifugo inatozwa kodi!

Na msicheke,this could be coming.Kama Kenya kwenye mswaada wao wa kodi ambao umepingwa kwa nguvu zote waliazimia kutoza kodi watu above 18 years old kodi eti kwa kuwa wanakaa na wazazi wao,hapa kwetu wanashindwa nini kutoza kodi ndoa?Mbona system ndiyo hiyo hiyo.

Niwaambie hivii,there is nothing these people cannot do in the name of Climate Change.For your information,the Sunday law is coming,again in the name of Climate Change and soon,not later.Kila mtu atalazumishwa worldwide kupumzika na kuabudu siku ya Jumapili.
 
Hivi si kuna Kodi ya majengo na Kodi ya ardhi ?!
 
Mkuu pole sana.Ni wazi sasa kuwa wananchi hatuna mtetezi na tuko wenyewe.Nadhani hatuna budi kuamka na kuchukuwa hatua stahiki.
 
Mkuu hawa watu watu ni part and parcel of the NWO and WEF.Infact waliambiwa na WEF watukamue bila huruma as we progress towards the full implementation of the NWO.Namkumbuka Claus Schwab a.k.a.Babu mkaa uchi, akiwaambia safari kuelekea NWO itakuwa na maumivu mengi,and this is it.Naamini they are now implementing WEF orders, na huu ni mwanzo wa utungu,the worst is yet to come.Lakini sisi kama Wananchi tunapaswa kufanya nini,because obviously hatuna wa kututea.Lazima kwa pamoja tukatae uonevu huu.
 
Mkuu pole sana.Ni wazi sasa kuwa wananchi hatuna mtetezi na tuko wenyewe.Nadhani hatuna budi kuamka na kuchukuwa hatua stahiki.
Hakika Mkuu. Tanesco wanasema sio wao huku TRA nao wakisema hawahusiki na kodi ya majengo. Sasa sijui nani anahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…