Hahaa nimejitutumua utazan bei najua ya kufungiwa mita private hapa ofisin. Wakuu nipeni Raman hapa salon hichi kifaa mita kufungiwa hapa ofisi bei gani? Pesa hazinifikii kwa wakati huku dogo akivimba tu mashavu. Dah.

Mjazie unit Kisha ondika na remote
Bei ya meter ya tanesco ni 320,000 + gharama ya ufundi na baadhi ya vifaa kama vile main switch na circuit breaker nikama 400,000 hivi
Utachagua mwenyewe