TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
4,437
Reaction score
13,836
Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly?

Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea.

TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko. Nashauri kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara, kuanzia MD mpaka fundi. Waendelee kulipwa hivyo mpaka tatizo likakapo kwisha.

Rais Samia kuwa mkali kidogo, na huyo Dotto mtoe huko kwenye unaibu waziri mkuu, afanye kazi ya msingi aachane na mambo ya kijinga ambayo hayapo hata kwenye katiba.
 
Hizi ni mbinu tu,wanataka waonyeshe shirika uendeshaji ni mbovu,walibinafsishe wale 10% zao

I refuse to believe hakuna umeme wa uhakika,either demand imeongezeka au Tanesco inatuhujumu.i believe the latter kwasababu hakuna sababu inayoeleweka wanayoitoa
 
Back
Top Bottom