Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

Huko hawajaweka bikoni? Kuna sehemu niliona bikoni ipo mita 30 kutoka kwenye nguzo!
 
Nguzo ipi,
Hizi KUBWA za chuma au hizi za mbao?
 
Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba
 
Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba
Hiyo siyo nguzo ni guzo lile la chuma linabeba umeme toka HEP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…