Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana

242514459_551192019443610_2843287466305433335_n.jpg
 
Huko hawajaweka bikoni? Kuna sehemu niliona bikoni ipo mita 30 kutoka kwenye nguzo!
 
Nguzo ipi,
Hizi KUBWA za chuma au hizi za mbao?
 
Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba
 
Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba
Hiyo siyo nguzo ni guzo lile la chuma linabeba umeme toka HEP
 
Back
Top Bottom