Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba
Mshale unaonesha kitako cha nguzo wala siyo mtu mkuu tazama vizuri
 
Umbali kutoka Kwenye line mpaka makazi inategemea Na Size ya Umeme uliobebwa katika izo conductor
Msongo wa
11kV=2.5M
33kV=5M
66kV=10M
132=20M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…