Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 1, 2021 Thread starter #21 Karao said: Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba Click to expand... Mshale unaonesha kitako cha nguzo wala siyo mtu mkuu tazama vizuri
Karao said: Mbona pichani ameonyesha yeye alipo na nyumba na sio nguzo ya umeme na nyumba Click to expand... Mshale unaonesha kitako cha nguzo wala siyo mtu mkuu tazama vizuri
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 1, 2021 Thread starter #22 DeepPond said: Nguzo ipi, Hizi KUBWA za chuma au hizi za mbao? Click to expand... chuma Mkuui
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Oct 1, 2021 #23 Msalimie huyo dada hapo
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,151 Reaction score 6,261 Oct 1, 2021 #24 Umbali kutoka Kwenye line mpaka makazi inategemea Na Size ya Umeme uliobebwa katika izo conductor Msongo wa 11kV=2.5M 33kV=5M 66kV=10M 132=20M
Umbali kutoka Kwenye line mpaka makazi inategemea Na Size ya Umeme uliobebwa katika izo conductor Msongo wa 11kV=2.5M 33kV=5M 66kV=10M 132=20M