TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,449
Reaction score
23,124
TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa nguzo to me ni very suspicious,it could be an inside job.

Hali tuliyo nayo hivi sasa ni almost sawa na scenario ya 2015.Sio siri,huduma ya umeme kwa sasa inakera,inakera inakera na ni duni sana.How long we can endure this seriously I do not know,but honestly,the times are hard. Nawahurumia sana watu wenye biashara zinazotegemea umeme 100%,kwa sababu ends can't meet I am sure.Yaani kwa siku umeme unakatika hata mara sita, and may be even more.Really?Jamani we are a third World country yes,lakini this is too much.

Sasa hivi ninapoandika hii comment,hakuna umeme, na tangu asubuhi umekatika almost three times.No guys,tuwe serious.Kwa jinsi hii kweli tutafanikisha sera yetu ya viwanda, no way, kwa kuwa hili ni swala la weledi,committment and nationalism.

Jambo la kuchukiza ni kwamba,matatizo yanayotolewa ni very flimsy,ambayo watu wakiwa serious yanatatulika.
Sababu kama nguzo zimeanguka, nguzo zimeungua,nguzo zimechomwa yanatatulika. Sometimes hata hakuna maelezo!Mnaambiwa tu we are sorry umeme umekatika mafundi wako kazini. Jamani TANESCO tumechoka, tunataka umeme wa kuaminika.Please give us what we rightly deserve.Ninyi ni Watanzania wenzetu,kwa nini mnatutesa?
 
Pole mkuu hii changamoto kwelikweli.
Mkuu ni changamoto kweli kweli, halafu the funny thing is, tukilalamika wanaona kama tunawaonea hivii, ajabu sana. They want us to keep quiet and just be content, jambo ambalo haliwezekani. Kama wateja tuna haki ya umeme wa uhakika, sio hii hali ya sasa.
 
Mkuu ni changamoto kweli kweli,halafu the funny thing is, tukilalamika wanaona kama tunawaonea hivii,ajabu sana.They want us to keep quite and just be content,jambo ambalo haliwezekani.Kama wateja tuna haki ya umeme wa uhakika,sio hii hali ya sasa.

Keep quite XX
Keep quiet ✓✓
 
Mkuu ni changamoto kweli kweli,halafu the funny thing is, tukilalamika wanaona kama tunawaonea hivii,ajabu sana.They want us to keep quite and just be content,jambo ambalo haliwezekani.Kama wateja tuna haki ya umeme wa uhakika,sio hii hali ya sasa.
Tatizo hili nikubwa sana , hasa nchi hii kuwa na shirika moja la umeme kwanini mashirika yasiwe hata matatu kuwe na ushindani katika sekta ya Nishati? Hapo serikali haiwezikujibu tuhuma hizi, TANESCO hawana ushindani wowote wanafanya kazi wanavyotaka
 
Viwanda vilianzishwa vingi sana ndio maana umeme unazingua kutokana na umeme mwingi kutumika viwandani 😅😅
Is it?Mbona hatujasikia wakilalamika kwamba umeme hautoshi?Acha utani wewe,watu tuna shida genuine halafu unaleta utani.
 
Sasa tufanyeje mkuu kama serikali imeelekeza nguvu kwenye mambo yasiyo na maana?
Hapana,hii sio kweli,ni scapegoat.Kama umeme hautoshi waanze mgao basi,ili tujue moja.Na kwa nini wasiseme tukajua moja kama tatizo ni uhaba wa umeme?No,kwa jinsi umeme unavyokatika na kuwaka,hili si suala la uhaba wa umeme,kuna matatizo mengine.
 
Back
Top Bottom