TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa nguzo to me ni very suspicious,it could be an inside job.
Hali tuliyo nayo hivi sasa ni almost sawa na scenario ya 2015.Sio siri,huduma ya umeme kwa sasa inakera,inakera inakera na ni duni sana.How long we can endure this seriously I do not know,but honestly,the times are hard. Nawahurumia sana watu wenye biashara zinazotegemea umeme 100%,kwa sababu ends can't meet I am sure.Yaani kwa siku umeme unakatika hata mara sita, and may be even more.Really?Jamani we are a third World country,lakini this is too much.
Sasa hivi ninapoandika hii comment,hakuna umeme, na tangu asubuhi umekatika almost three times.No guys,tuwe serious.Kwa jinsi hii kweli tutafanikisha sera yetu ya viwanda, no way, kwa kuwa hili ni swala la weledi,committment and nationalism.
Jambo la kuchukiza ni kwamba,matatizo yanayotolewa ni very flimsy,ambayo watu wakiwa serious yanatatulika.
Sababu kama nguzo zimeanguka, nguzo zimeungua,nguzo zimechomwa yanatatulika. Sometimes hata hakuna maelezo!Mnaambiwa tu we are sorry umeme umekatika mafundi wako kazini. Jamani TANESCO tumechoka, tunataka umeme wa kuaminika.Please give us what we rightly deserve.