TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

New Delhi, India

Adani's Power Play in East Africa: Tanzaniaโ€™s $900M Deal and Kenya's Struggle


View: https://m.youtube.com/watch?v=X_LYQY4S3nM
It seems Gautam Adani isnโ€™t leaving East Africa anytime soon. In todayโ€™s video, we dive into the Adani Groupโ€™s $900 million public-private collaboration in Tanzania and explore how the Indian billionaire is expanding his footprint across East Africa.

With investments in Tanzaniaโ€™s power infrastructure and Kenyaโ€™s energy sector, what does this mean for the regionโ€™s future? Are these deals opportunities for growth, or do they represent a form of modern corporate colonization?
 
Hapa ulaji unatengenezwa kwa mfumo mpya wa PPP gharama zitaongezeka tu na hakutakuwa na mwisho kama ilivyo kwa daraja la kigamboni.
 

Gautam Adani: the billionaire vs the short seller | FT FIlm


View: https://m.youtube.com/watch?v=XrpKokMASjA
In 2022, the Indian businessman was the third richest man in the world but a short report at the start of 2023 saw the value of his listed companies fall by over $100bn. The fallout has spread beyond the markets and into politics as the story of Adani has become inextricably linked to Prime Minister Narendra Modi's vision of the new India
 
TOKA MAKTABA:

Mafanikio ya ziara ya mwezi Oktoba mwaka jana 2023 ya mheshimiwa rais Dr. Samia Hassan nchini India ambapo tulishuhudia makubaliano kupitia MoU ikitiwa saini

09 October 2023

PM Narendra Modi and President Samia Suluhu Hassan witness exchange of MOUs at Hyderabad House


View: https://m.youtube.com/watch?v=y_Jb59vYQBIIndia and Tanzania on Monday announced elevating their ties to strategic partnership and agreed on a five-year roadmap to significantly expand defence cooperation following talks between Prime Minister Narendra Modi and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan.

The two countries inked six agreements providing for cooperation in the digital domain, culture, sports, maritime industries, white shipping information sharing and economic free zone ....
 
Hapa ulaji unatengenezwa kwa mfumo mpya wa PPP gharama zitaongezeka tu na hakutakuwa na mwisho kama ilivyo kwa daraja la kigamboni.

Na DP World bandari na shoroba (corridors) za bandari kavu, reli na magodown yaliyo pembeni ya maeneo mkakati ya ugavi (supply) kwa barabara na reli kwenda nchi jirani.

Na huduma watakazotoa Adani, DP World na wawekazaji wakubwa wa kimkakati ni katika US$ DOLLAR hii ina maana fedha za kigeni mfano zilizokuwa zinakwenda TPA sasa tutagawana na DP World pia Adani watalipwa kwa fedha za kigeni tofauti na TANESCO au kampuni ya usambazaji ingekuwa ya kiTanzania.

Upungufu wa fedha za kigeni utegemewe kuwa endelevu hadi pale tutapoweza kuongeza mauzo ya bidhaa, mazao, huduma za ugavi na usafirishaji kwenda nchi jirani, madini n k
 
Gautam Adani bilionea aliyekuwa anashika nafasi ya 3 kwa utajiri duniani kabla ya kuporomoka hadi nafasi ya ishirini na ushee asimulia mapito yake hadi mafanikio:


View: https://m.youtube.com/watch?v=XuZEi4UL-aE
Bilionea huyo mwenye ushawishi na umakini wa kusaka uwekezaji anatupa mwanga uwezo wake wa kujadiliana madili n.k
 
Heading inaonyesha Tanesco ndio wanetoa tamko

Lakini ndani Kafulila ndio katamka .Kafulila anafabya kazi Tanesco?

Tukitaka kuhoji tumhoji nani Tanesco au Kafulila?
 
Dalali yuko kazi ni, akifanikisha dili investor anampa 10 percent,
 
Heading inaonyesha Tanesco ndio wanetoa tamko

Lakini ndani Kafulila ndio katamka .Kafulila anafabya kazi Tanesco?

Tukitaka kuhoji tumhoji nani Tanesco au Kafulila?
TANESCO ndio wanapanga kila kitu ndio wanakwenda kwa Kafulila
 
energy ni sector nyeti sana. can't be given to foreigners.


hizi akili na anawapa
Hawajali, watauza kila kitu. Bandari,, lango kuu la uchumi imeenda sembuse umeme !!!! Nchi ikikosa watu wakali kulinda rasilimali zake, itakuwa soko holela la kuuza na kununua chochote na madalali wasio na uchungu. Ninakuhakikishia kitauzwa kila kitu hapa nchini na hakuna wa kufanya lolote. Libya,, Gaddafi aliwakatalia wazungu akaboresha uchumi wa ndani japo walimuua.
 
Acha kupotosha ndg yangu,

Ubia sio kuuza,

Elewa vizuri dhana ya Ubia

Kinachofanya ni kupunguza matumizi ya Kodi kwaajili ya kuendesha miradi ya kibiashara
 
Acha kupotosha ndg yangu,

Ubia sio kuuza,

Elewa vizuri dhana ya Ubia

Kinachofanya ni kupunguza matumizi ya Kodi kwaajili ya kuendesha miradi ya kibiashara
Ubia ?? Haya Bwana. Hapa Tanzania au nchi ya kusadikika ?? Kwa mikataba ipi kwa mfano. Refer IPTL, Songas, Dowans. Nchi nzima inakaribia kupata umeme wanasambaza kitu gani ?
 
Ubia ?? Haya Bwana. Hapa Tanzania au nchi ya kusadikika ?? Kwa mikataba ipi kwa mfano. Refer IPTL, Songas, Dowans. Nchi nzima inakaribia kupata umeme wanasambaza kitu gani ?
Kasome plan za TANESCO kwanza,

TANESCO wanataka kupeleka umeme mpaka nje ya nchi, Je unataka tutumie Kodi za wananchi kupeleka up Umeme Burundi?
 
Hapa ulaji unatengenezwa kwa mfumo mpya wa PPP gharama zitaongezeka tu na hakutakuwa na mwisho kama ilivyo kwa daraja la kigamboni.
Mkuu wewe unaheshima kubwa sana hapa Jf
 
Nonsense
 
Hii ni nzuri Ili Sasa Tanesco ujikite kwenye uzalishaji na maintanance.

Tusije ongezewa gharama tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ