TANESCO: Tumesikitishwa na taarifa za shirika kuhusishwa na matukio ya Kihalifu

Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha Shirika na matukio ya kihalifu.

TANESCO imesikitishwa na taarifa hizo ambazo si za kweli, na hazihusiani kwa namna yoyote na majukumu ya Shirika ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa huduma ya umeme nchini.

Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi, ikiwemo hitilafu za dharura kwenye miundombinu au matengenezo yaliyopangwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma.

Mambo haya yote ni ya kitaalamu, yanaratibiwa kwa mujibu wa taratibu, na hayana uhusiano wowote na vitendo vya kihalifu.

TANESCO inatoa wito kwa wananchi kuepuka kutoa au kusambaza taarifa zisizothibitishwa zinazoweza kupotosha umma na kuathiri taswira ya Shirika.

Shirika litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kitaalamu kwa weledi na uadilifu, na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika kwa wateja wake kote nchini.

Pia Soma: Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue
View attachment 3510211
Nilijua tu watajibu,yule mlevi akili hana kazi kuropoka tu,watu wakitaka kukuua mpaka wakuzimie umeme!?.. halafu wanasifiwa eti wasomi
Tanesco wasiishie hapo,wamshtaki,aite press aombe radhi kwa kusema uwongo
 
Bora wangekaa kimya au wangesema wanafuatilia kuliko kukanusha jumla.

Uwezekano upo ukizingatia siku hizi wenye ndevu ni wengi wanaoamrisha

Mtu yeyote akishiriki anawahi kukataa sana. Tanesco si bure. Kwa nini tamko lenu linakuja haraka namna hiyo

Kujibu tuhuma hizo ni rahisi tu kwa kutumia facts;
1. Siku na wakati wa tukio, katika eneo hilo umeme ulikatika/haukukatika.
2. Kama ilitokea, sababu za kukatika ni..... na hivyo ni coincidence tu na tukio la kushambuliwa.

Maneno mengine yote hayana uzito wowote katika kujibu.
Kwa nchi na taasisi inayoendeshwa kwa weledi, badala ya kukimbia kukanusha tuhuma nzito kama hizo, wangesema tunafuatilia kwa umakini shutuma hizo na kuzifanyia uchunguzi. Wangeomba hata msaada wa vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuwasaidia katika uchunguzi wao. Ila kwa kuwa weledi ni zero, hili ndiyo tamko waliloona linafaa.
 
Nchi ya makanusho , kwamba tulitegemea mkiri na kukubali kuwa mlizima umeme?
 
Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha Shirika na matukio ya kihalifu.

TANESCO imesikitishwa na taarifa hizo ambazo si za kweli, na hazihusiani kwa namna yoyote na majukumu ya Shirika ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa huduma ya umeme nchini.

Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi, ikiwemo hitilafu za dharura kwenye miundombinu au matengenezo yaliyopangwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma.

Mambo haya yote ni ya kitaalamu, yanaratibiwa kwa mujibu wa taratibu, na hayana uhusiano wowote na vitendo vya kihalifu.

TANESCO inatoa wito kwa wananchi kuepuka kutoa au kusambaza taarifa zisizothibitishwa zinazoweza kupotosha umma na kuathiri taswira ya Shirika.

Shirika litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kitaalamu kwa weledi na uadilifu, na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika kwa wateja wake kote nchini.

Pia Soma: Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue
View attachment 3510211
Taarifa kamilifu wangesema eneo husika umeme ulikati SAA Fulani Hadi SAA Fulani na ilitokana na nini. Au umeme eneo Hilo haukukatika kabisa.
 
Nilijua tu watajibu,yule mlevi akili hana kazi kuropoka tu,watu wakitaka kukuua mpaka wakuzimie umeme!?.. halafu wanasifiwa eti wasomi
Tanesco wasiishie hapo,wamshtaki,aite press aombe radhi kwa kusema uwongo
Wakuu takataka kama hii bonyeza hapo kwenye profile yake then click hapo ignore hutaona mashudu yake popote pale ndani ya hili jukwaa la Melo.
Screenshot_20251201_235444_Chrome.jpg
 
TOKA LINI WAVAA MAGAUNI NA WAPIGA PUNYETO KAMA TEC WAKAWA NA AKILI TIMAMU??
 
Nyie mnaendesha shirika kimagumashi sana. Hamna hata haya. Nchi mnaiharibu kuleta siasa hata kwenye mashirika ya umma. Nyie na hata TCRA. Ngojeni siku yenu inakuja.
Kanisa mnajifanya watemi mbona mlipigwa lockdown kenge nyinyi na mka kaa ndani??
 
Msikitishwe nyie? Tunafahamu Anayewalipa ndiye anayewatuma.

Akiliwa kichwa nanyi mjiandae.
 
Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi,
kabla ya kujibu tuhuma hizotoka kwa padre Kitima, wamejirisha vipi kuwa "hujuma" inaweza kuwa sehemu ya umeme kuzimika siku/wakati ule?

Wamechunguza lini kujuwa kiini cha umeme kukatika siku hiyo

Kama hilo siyo jibu la kukurupuka, tuliite nini?
 
Maswali toka kwa watanzania ni haya yafuatayo;
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie

"MAMAA AMKA, AMKA MAMAAA" sauti hii ikinijia machozi yanashuka.
Eeee Mungu shusha pigo lako.
Ee MUNGU shusha pigo lako..
 
Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha Shirika na matukio ya kihalifu.

TANESCO imesikitishwa na taarifa hizo ambazo si za kweli, na hazihusiani kwa namna yoyote na majukumu ya Shirika ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa huduma ya umeme nchini.

Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi, ikiwemo hitilafu za dharura kwenye miundombinu au matengenezo yaliyopangwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma.

Mambo haya yote ni ya kitaalamu, yanaratibiwa kwa mujibu wa taratibu, na hayana uhusiano wowote na vitendo vya kihalifu.

TANESCO inatoa wito kwa wananchi kuepuka kutoa au kusambaza taarifa zisizothibitishwa zinazoweza kupotosha umma na kuathiri taswira ya Shirika.

Shirika litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kitaalamu kwa weledi na uadilifu, na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika kwa wateja wake kote nchini.

Pia Soma: Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue
View attachment 3510211

Father Kitima yeye anaunganisha DOTS tu. Police wameshindwa kufanya uchunguzi na kutuambia kilichotokea. Intelligence zao zinafanya kazi kwa Chadema tu.
 
Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha Shirika na matukio ya kihalifu.

TANESCO imesikitishwa na taarifa hizo ambazo si za kweli, na hazihusiani kwa namna yoyote na majukumu ya Shirika ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa huduma ya umeme nchini.

Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi, ikiwemo hitilafu za dharura kwenye miundombinu au matengenezo yaliyopangwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma.

Mambo haya yote ni ya kitaalamu, yanaratibiwa kwa mujibu wa taratibu, na hayana uhusiano wowote na vitendo vya kihalifu.

TANESCO inatoa wito kwa wananchi kuepuka kutoa au kusambaza taarifa zisizothibitishwa zinazoweza kupotosha umma na kuathiri taswira ya Shirika.

Shirika litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kitaalamu kwa weledi na uadilifu, na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika kwa wateja wake kote nchini.

Pia Soma: Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue
View attachment 3510211
Tanesco wapumbaf nyie, nanyi kweli mnataka kujiingiza kwenye vita ya umma kichwa kichwa bila kujua au kwa kutumika?

Jambazi akipanda na playa kwenye fensi ya mtu na kukata umeme kwa nia ovu na tena ndiyo mbinu zinazotumika sasa kwa matukio ya utekaji, kama walivyofanya kina Mafwele wakati wanamteka Polepole, kosa linakuwa ni la kwenu Tanesco hapo?

Kwa hiyo Padre Kitima walivyokata umeme na kumvamia palepale alitakiwa akae kimya asiseme?

Kwa issue hii utetezi wenu ulikuwa ni ndogo sana na WaTngk wangeliwaelewa bila lawama na nyie!

Lakini sasa mnataka kujiingiza kwenye vita visivyowahusu na kwa taarifa, barua yenu hii inaweza kuwagharimu kwa watu kuanza 'kufukua makaburi' yenu.

Ni heri mgelijikalia kimya!
 
Back
Top Bottom