Tunawashukuru angalau kwa kutoka kusema chochote,ila hawawezi kujitoa kirahisi pasipo kututhibitishia bila mashaka, kwamba ni kwanini umeme ulikatika na hapo hapo mashambulizi yakafanyika.Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha Shirika na matukio ya kihalifu.
TANESCO imesikitishwa na taarifa hizo ambazo si za kweli, na hazihusiani kwa namna yoyote na majukumu ya Shirika ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa huduma ya umeme nchini.
Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi, ikiwemo hitilafu za dharura kwenye miundombinu au matengenezo yaliyopangwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma.
Mambo haya yote ni ya kitaalamu, yanaratibiwa kwa mujibu wa taratibu, na hayana uhusiano wowote na vitendo vya kihalifu.
TANESCO inatoa wito kwa wananchi kuepuka kutoa au kusambaza taarifa zisizothibitishwa zinazoweza kupotosha umma na kuathiri taswira ya Shirika.
Shirika litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kitaalamu kwa weledi na uadilifu, na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika kwa wateja wake kote nchini.
Pia Soma: Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue
View attachment 3510211
Dada kwenye post zako nyingi naona unatumia nguvu kubwa kujibu hoja,naomba ujibu hojaNilijua tu watajibu,yule mlevi akili hana kazi kuropoka tu,watu wakitaka kukuua mpaka wakuzimie umeme!?.. halafu wanasifiwa eti wasomi
Tanesco wasiishie hapo,wamshtaki,aite press aombe radhi kwa kusema uwongo
We ndo huna akili, umebeba jiwe shingoni, ndo maana unatetea wauwaji, kwako watu wakitekwa, wakiuwawa ni sawa tu?Hujui ulisemalo kwa sababu we ni takataka tu, huna akili. Siku ulitoka usingizini utajua
PRO wa mchongoPRO jibu hoja acha kutafuta sympathy.
Kwanza TCRA haina faida yoyote kwa Mwananchi. Ni kuilinda CCM tu .Haya mashirika na taasisi zinazofuata maagizo ya wahuni ni kuyapiga kibiriti tu ,next time wakizima internet ni kwenda kuziunguza tu hizo ofc za TCRA na Datacentre!
Umeme ulikatika kweli au sio kweli??Nilijua tu watajibu,yule mlevi akili hana kazi kuropoka tu,watu wakitaka kukuua mpaka wakuzimie umeme!?.. halafu wanasifiwa eti wasomi
Tanesco wasiishie hapo,wamshtaki,aite press aombe radhi kwa kusema uwongo
Lakini pia TANESCO haishindwi kukata umeme kwa makusudi.Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha Shirika na matukio ya kihalifu.
TANESCO imesikitishwa na taarifa hizo ambazo si za kweli, na hazihusiani kwa namna yoyote na majukumu ya Shirika ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa huduma ya umeme nchini.
Umma unapaswa kufahamu kwamba kukatika kwa umeme kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiufundi, ikiwemo hitilafu za dharura kwenye miundombinu au matengenezo yaliyopangwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma.
Mambo haya yote ni ya kitaalamu, yanaratibiwa kwa mujibu wa taratibu, na hayana uhusiano wowote na vitendo vya kihalifu.
TANESCO inatoa wito kwa wananchi kuepuka kutoa au kusambaza taarifa zisizothibitishwa zinazoweza kupotosha umma na kuathiri taswira ya Shirika.
Shirika litaendelea kutekeleza majukumu yake ya kitaalamu kwa weledi na uadilifu, na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika kwa wateja wake kote nchini.
Pia Soma: Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue
View attachment 3510211
Kabla na baada ya hapo,haukuwahi katika?Umeme ulikatika kweli au sio kweli??
Na sababu ya kukakatika wakati huo Nini ??
Sio maneno mengi ya kutia huruma
Nilijua huwezi kujibu,Kabla na baada ya hapo,haukuwahi katika?
Umeme haujawahi katika kabla na baada ya kitima kupigwa na walevi wenzie?Nilijua huwezi kujibu,
Kwa hiyo tulia hata Tanesco nao wameshindwa kujibu hoja wakaishia kulia Lia Kwa wananchi
Huna hoja tulia , msemaji wa Tanesco ameshindwa kujibu hoja wewe mjinga utaweza ?Umeme haujawahi katika kabla na baada ya kitima kupigwa na walevi wenzie?
Mpigie kitima umuulize hilo swali, tanesco hawawezi jibu vitu vya kijingaHuna hoja tulia , msemaji wa Tanesco ameshindwa kujibu hoja wewe mjinga utaweza ?
Kwanza TCRA haina faida yoyote kwa Mwananchi. Ni kuilinda CCM tu .
Yakoje???