TANESCO: Tumesikitishwa na taarifa za shirika kuhusishwa na matukio ya Kihalifu

TANESCO NI WAHUNI SANA!!WANAHARIBU SANA UCHUMI WA WATU KWA KUKATA KATA UMEME PASIPO TIJA!
 
Tunawashukuru angalau kwa kutoka kusema chochote,ila hawawezi kujitoa kirahisi pasipo kututhibitishia bila mashaka, kwamba ni kwanini umeme ulikatika na hapo hapo mashambulizi yakafanyika.

Mkumbuke sisi watanzania ndo wateja wenu,tunazijua huduma zenu kama ni nzuri au ni ovyo,kwa hiyo sisi jamii ndo tutawatetea au kuwaunganisha kwenye hizo tuhuma kutegemeana na mnayotutendea
Nilijua tu watajibu,yule mlevi akili hana kazi kuropoka tu,watu wakitaka kukuua mpaka wakuzimie umeme!?.. halafu wanasifiwa eti wasomi
Tanesco wasiishie hapo,wamshtaki,aite press aombe radhi kwa kusema uwongo
Dada kwenye post zako nyingi naona unatumia nguvu kubwa kujibu hoja,naomba ujibu hoja
 
Tanesco wamelaumiwa sana toka zamani, kwa kutoa location ya namba fulani pale zinaponunua umeme.
Ikumbukwe, mita zote za Tanesco zikiwekwa wanachukua coordinates
 
TANESCO hata kwenye utekaji wapo. Kama unaikosoa Serikali usijiroge kupiga simu TANESCO watakuja kina Mafwele.
 
Haya mashirika na taasisi zinazofuata maagizo ya wahuni ni kuyapiga kibiriti tu ,next time wakizima internet ni kwenda kuziunguza tu hizo ofc za TCRA na Datacentre!
Kwanza TCRA haina faida yoyote kwa Mwananchi. Ni kuilinda CCM tu .
 
Nilijua tu watajibu,yule mlevi akili hana kazi kuropoka tu,watu wakitaka kukuua mpaka wakuzimie umeme!?.. halafu wanasifiwa eti wasomi
Tanesco wasiishie hapo,wamshtaki,aite press aombe radhi kwa kusema uwongo
Umeme ulikatika kweli au sio kweli??
Na sababu ya kukakatika wakati huo Nini ??

Sio maneno mengi ya kutia huruma
 
Lakini pia TANESCO haishindwi kukata umeme kwa makusudi.

Kwani mgao huwa ni matengenezo au mpango wa makusudi?
 
Kwanza TCRA haina faida yoyote kwa Mwananchi. Ni kuilinda CCM tu .

Hawana umuhimu wowote ,hakuna Regulation wanazofanya zaidi ya kupiga faini tu za mabilioni, kuandika invoice mwisho wa mwezi kwenda MNOs na kutekeleza maaagizo ya wahuni.

Wangekuwa wapo kwa maslahi ya wananchi wangemruhusu Elon Musk alete Star Link TZ.
 
Kazi ipo kumbe mipango ilianza mbali sana umeme usikatike siku zote ukatike tu mtu akiingia ndani na unarudi akitoka hapo pana namna bhana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…