Ni kama mgao wa kimya kimya lakini hauko fair, yani hauna ratiba zinazoeleweka, unajiandaa kufanya kazi umeme unakata, no bora wakeweka utaratibu ili mtu ajue ana adjust vipi ratiba za kazi,
Na sisi tunataka tuishi na tunategemea hizi kazi ndugu zangu