pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ukisikia ujinga na utapeli ndio huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidumu cha tawalaaa
mashallah, mabinti wa kiislam wanamuogopa Mungu ndomaana wakiongea wanaelewekaMaharage anaweza kuwa ni mchapa kazi mzuri (sina uhakika kilichomweka hapo) lakini siyo msemaji mzuri na hajuwi kujieleza.
Nakumbuka zamani, enzi za Kikwete kama siyo TANESCo basi wizara ya nishati na madini ilikuwa na msemaji mmoja mtoto wa kike, Badra Masoud, alikuwa anajuwa kufikisha ujumbe, tena wakati huo ndiyo ilikuwa tuna shida kweli ya umeme lakini alikuwa akifikisha ujumbe anaeleweka.
View attachment 2753879
Huu umropo, ropo ropo yake hii baada ya "kuvimbewa maharage ya wapi" umemnyang'anya tonge mdomoni dadeki!Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu
Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na kuelekeweka lakini wafanyakazi wanajitahidi, wizara inajitahidi na serikali inajitahidi kuhakikisha tunatatua changamoto, vile vile uchumi unakua sana kwahiyo ni vizuri na mahitaji ya umeme yanaongezeka, tuko katika kushindana kuzalisha na matumizi ambayo ni mashindano mazuri kwa ustawi wa nchi yetu
Katika mitandao ya umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara maeneo mbalimbali huwezi kusema utakuwa na mtandao wa umeme isitokee hitilafu na pale zinapotokea wateja wetu huwa wanafahamishwa lakini pale ambapo tunapata upungufu"
Siyo kwamba nchi nzima hakuna umeme, kuna baadhi ya meeneo yanakosa na pia tunatoa taarifa kwenye hayo maeneo, ni vizuri mwananchi apate taarifa na tumekuwa tukitoa taarifa na tutaendelea kufanya hivyo.
View attachment 2753272
Bado huyu mtu kwangu namuona ni mweledi, mbunifu,mchana kazi asiyechoka na mzalendo kwa nchi yetu Tanzania.Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu
Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na kuelekeweka lakini wafanyakazi wanajitahidi, wizara inajitahidi na serikali inajitahidi kuhakikisha tunatatua changamoto, vile vile uchumi unakua sana kwahiyo ni vizuri na mahitaji ya umeme yanaongezeka, tuko katika kushindana kuzalisha na matumizi ambayo ni mashindano mazuri kwa ustawi wa nchi yetu
Katika mitandao ya umeme hitilafu huwa zinatokea mara kwa mara maeneo mbalimbali huwezi kusema utakuwa na mtandao wa umeme isitokee hitilafu na pale zinapotokea wateja wetu huwa wanafahamishwa lakini pale ambapo tunapata upungufu"
Siyo kwamba nchi nzima hakuna umeme, kuna baadhi ya meeneo yanakosa na pia tunatoa taarifa kwenye hayo maeneo, ni vizuri mwananchi apate taarifa na tumekuwa tukitoa taarifa na tutaendelea kufanya hivyo.
View attachment 2753272
Na wewe uache kutetea Uzinzi.Unalipwa shilingi ngapi unapotetea ujinga?.