TANESCO tupeni Excuse ata ya Kuzugia Kwanini mmekata Umeme. Elnino au Jua Kali sana?

TANESCO tupeni Excuse ata ya Kuzugia Kwanini mmekata Umeme. Elnino au Jua Kali sana?

TANESCO poleni na kazi.

Rudisheni umeme tafadhali. Dar es Salaam , Mbezi.
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo.

Tafadhali tupatie namba yako ya simu pamoja na taarifa kamili za eneo unalopatikana ikiwemo Kata na Mtaa uliopo ili tuweze kukupatia msaada zaidi. Asante. ^FL
 
Labda niwape Namba ya simu ya M/Kiti. Yangu hapana.

Checki Kibamba Shule, Nimezoea kupokea Msg Mkiwa na Marekebisho, Leo kimya kimya.
 
Ninawapa ya Mwenyekiti. 😁😁😁
Wazembe bhana , we umeshasema Mbezi sasa namba za simu za nini ? Halafu Umeme hatutumii bure lakini wanavyofanya utadhani huwa tunaupata bure.

Kuna ulazima hii huduma ya Umeme iwe kama ya Makampuni ya simu , Mtu awe anaamua kuhamia kokote anakotaka
 
Nipo kibamba hapa njia panda ya shule Kona bar napiga maji naona wamekata umeme na joto hili la dar jasho hadi kwneye mbupu
Habari ngoshabunda, tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Maeneo hayo yanakosa huduma ya umeme kutokana na matengenezo ya dharura yanayoendelea katika eneo la njia panda ya Delina. Matengenezo hayo yanalenga kuimarisha usalama wa miundombinu na kuhakikisha huduma ya umeme inakuwa salama na ya uhakika.

Tunaomba uvumilivu wako wakati matengenezo yakiendelea. Asante .^FL
 
Kuna hii tabia mtu analeta maoni au malalamiko then muandishi wa habar au mpokea malalamiko au maoni anaomba taalifa binafsi za mleta malalamiko au maoni wakati huohuo mtu amewakilisha maoni ya kiwanda,kampuni,mtaa,kata au mkoa (AU LENGO MLETA MAONI AU LALAMIKO ATEKWE AU AFUKUZWE KAZI?
 
Back
Top Bottom