TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,210
- 2,779
Ndugu mteja,Kuna hii tabia mtu analeta maoni au malalamiko then muandishi wa habar au mpokea malalamiko au maoni anaomba taalifa binafsi za mleta malalamiko au maoni wakati huohuo mtu amewakilisha maoni ya kiwanda,kampuni,mtaa,kata au mkoa (AU LENGO MLETA MAONI AU LALAMIKO ATEKWE AU AFUKUZWE KAZI?
Fahamu kuwa tunapoomba namba yako ya simu ni kwa ajili ya kuwasilisha taarifa zako kwa idara husika ili wataalamu wetu waweze kuwasiliana nawe na kukupatia msaada unaohitajika.
Tunakuhakikishia kuwa taarifa hizo zitaombwa na kutumika kwa madhumuni hayo tu na zitumwe kupitia ujumbe wa faragha (Inbox) kwa ajili ya kufuatilia suala hilo. Asante.^NI