Ndugu mteja,Kuna hii tabia mtu analeta maoni au malalamiko then muandishi wa habar au mpokea malalamiko au maoni anaomba taalifa binafsi za mleta malalamiko au maoni wakati huohuo mtu amewakilisha maoni ya kiwanda,kampuni,mtaa,kata au mkoa (AU LENGO MLETA MAONI AU LALAMIKO ATEKWE AU AFUKUZWE KAZI?
Sasa mkoa mzima mnatumia 4mW utakatika vipi? Mkoa mzima haufikii umeme wa majengo matatu pale posta!Hamia dodoma husikii huku umeme hadi tunamiss ukatike
Wakifanya hivyo tu, shirika linakufa kifo kama chq TTCL. Mashirila yq umma yakiruhusu ushindani lazima yafe. Ndiyo maana Jiwe ili kuinusuru ATCL ilibidi awauwe wapinzani kama FastjetWazembe bhana , we umeshasema Mbezi sasa namba za simu za nini ? Halafu Umeme hatutumii bure lakini wanavyofanya utadhani huwa tunaupata bure.
Kuna ulazima hii huduma ya Umeme iwe kama ya Makampuni ya simu , Mtu awe anaamua kuhamia kokote anakotaka
Nikikuambia Mbezi kibamba kwa Mangi kuna shida ya umeme. Unataka namba yq nini tena?Ndugu mteja,
Fahamu kuwa tunapoomba namba yako ya simu ni kwa ajili ya kuwasilisha taarifa zako kwa idara husika ili wataalamu wetu waweze kuwasiliana nawe na kukupatia msaada unaohitajika.
Tunakuhakikishia kuwa taarifa hizo zitaombwa na kutumika kwa madhumuni hayo tu na zitumwe kupitia ujumbe wa faragha (Inbox) kwa ajili ya kufuatilia suala hilo. Asante.^NI
Ndugu mteja,Huku nilipo umeme masaa 12 upo masaa 12 haupo.
SIku moja moja ndio wanaweza kutoa taarifa kuwa wanafanya matengenezo.
Ndugu mteja,Sasa mkoa mzima mnatumia 4mW utakatika vipi? Mkoa mzima haufikii umeme wa majengo matatu pale posta!
Habari ngoshabunda, tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
Maeneo hayo yanakosa huduma ya umeme kutokana na matengenezo ya dharura yanayoendelea katika eneo la njia panda ya Delina. Matengenezo hayo yanalenga kuimarisha usalama wa miundombinu na kuhakikisha huduma ya umeme inakuwa salama na ya uhakika.
Tunaomba uvumilivu wako wakati matengenezo yakiendelea. Asante .^FL
Ndugu mteja,Nikikuambia Mbezi kibamba kwa Mangi kuna shida ya umeme. Unataka namba yq nini tena?
Ndugu mteja,Na Haya Ndio Majibu Tunayoyataka Maswala Ya Kuulizana Eneo,,Mara Sijui Namba Za Simu Ni Kijiupuuzi Fulani,,Kwamba Ninyi Hamfahamu Kabisa Maeneo Mliyokata Umeme Na Ulimwengu Huu Wa Teknolojia Tele...Punguzeni Kama Si Kuacha Ubabaishaji Wazee Wa Kuangaza Maisha
Asanteni kwa kuelewa, ila mimi nimetoa mfano tu na siyo kuwa Mbezi Kibamba kwa Mangi kuna changamoto. AsanteniNdugu mteja,
Namba ya simu huombwa pale inapohitajika ili kurahisisha mawasiliano ya moja kwa moja na kufuatilia changamoto husika. Hata hivyo, tunakushukuru kwa kutufahamisha eneo lilipo tatizo, na tutaelekeza taarifa hiyo kwa idara husika kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi.
Asante.^NI
Ndugu mteja,
Tumepokea maoni yako kwa utekelezaji. Asante.^NI
Ndugu mteja,Nashukuru Kwa Mapokezi Ya Maoni Yangu,,Na Nawaombea Afya Ya Mifupa,,Damu Na Nyama Katika Utekelezaji,,Mbona Wanaowaibiaga Umeme Kwa Njia Haramu Mnazijua Chocho Zote,,Basi Na Iwe Vivyo Hivyo Kwenye Changamoto Za Kawaida Kwa Wateja Wenu Na Wananchi Waaminifu Pia...
###TanescoTunayaangazaMaishaYako###
Kiruuuuu, nitazungumza na RBAO Chonya aje aeleze kama hili ni kweli au unapiga porojo zako za mama samiaSasa mkoa mzima mnatumia 4mW utakatika vipi? Mkoa mzima haufikii umeme wa majengo matatu pale posta!
Haina tatizo nitawapa namba ya mbunge, diwani na mwenyekiti wa kijiji.Ndugu mteja,
Tunakushukuru kwa maoni yako. Fahamu kuwa upatikanaji na usambazaji wa umeme hutegemea hali ya miundombinu ya umeme, mahitaji ya wateja kwa wakati husika, pamoja na hitilafu zinazoweza kujitokeza kwenye mfumo. Hivyo, kiwango cha megawati kinachotumika pekee hakiwezi kuamua kama umeme utakatika au la.
Tunaomba utufahamishe mkoa na eneo husika ili tuweze kufuatilia changamoto hiyo na kukupatia ufafanuzi zaidi. Asante.^NI