Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Kwa kweli… sababu nilipo hapa walikata wakarudisha, wamekata tena.
Rule No.1 - Never Trust Anybody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rule No.1 - Never Trust Anybody
Tanga mjini leo umekatika zaidi ya mara 4 kuanzia asubuhi mpaka usiku saa 2 na ni kawaida kila siku kukatika
Bei haijawahi kuongezwa,hiyo ya 27k ni bei ya REA na inaendelea kama ilivyokuwa.Hizi akili mgando sijui zitaganduka lini (ila sio akili mgando ni walamba asali kupitia ulaghai wanazidi kutafuta nchi kwa kuleta sababu zisizoeleweka)
Sasa kama umeme ni mwingi zaidi ya mahitaji na kuna watu bado hawajaunganishwa kwanini waliongeza bei ya kuunganishwa kutoka kwenye 27K kurudi kwenye malaki ya Pesa ?
Hawa jamaa yaani hata wangekuwa waigizaji movie yao isingeuza...., sababu hata plot yao ni illogical.... (Stranger than Fiction)
Kwani mara ngapi niliwahi kuwaambia kwamba hata bwawa likamilike,kukatika Kwa umeme hakitakuja kukoma Kwa sababu miundombinu ni chakavu.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma.
“Mh. Waziri Mkuu kwa sasa hivi tunavyopngea tuna mitambo karibu mitano ipo nje, haifanyi kazi yoyote ni kwamba tu mahitaji yapo chini uzalishaji upo mwingi kwahiyo tumeiweka tu stand by kwa ajili ya kusubiria mahitaji yakiwa juu tunaiwasha, karibia megawats 175, umeme tunaozalisha ni mwingi mahitajii ni madogo Nchi nzima, narudia tuna mitambo mitano minne Kituo cha Kinyerezi I na mmoja Kituo cha Ubungo III, hii mitambo tumeizima kwasababu mahitaji yapo chini na uzalishaji wa umeme ni mwingi imebidi tuizime, kuhusu mgao hamna mgao kwa sasa”
Millard Ayo
Umeongea kama masihara lakini ndio ukweli wenyewe.Nivizuri kupunguza bei ya umeme ili matumizi yawe makubwa, watu wanaogopa kutumia majiko ya umeme ili kupunguza gharama.
Ng'ombeViongozi wa CCM Huwa wanatuchukuliaje wananchi? Mazombi? Watoto? Primitive society? Ama?
Aisee hii sijui mara ya ngapi nimerudia hii REA (Vijijini) Kuunganishwa ilikuwa 27K na hii ni kwamba kila mtu kwenye LUKU yake analipia kama Tozo kila unavyonunua UMEME (Mradi wa REA) JPM alivyokuja akasema kila mtu aunganishwa kwa 27K bila kujali kama ni kijijini mpaka Mjini..., Samia kaingia na yeye akasema itaendelea kuwa hivyo..., Zikaanza Sarakasi za Makamba kuhusu gharama n.k...., Samia akapiga U-Turn kwamba gharama ni kubwa kila mtu hawezi kuunganishwa kwa 27KBei haijawahi kuongezwa,hiyo ya 27k ni bei ya REA na inaendelea kama ilivyokuwa.
Baada ya JPM kusema iwe 27k,wewe hapo Mjini uliwahi lipa hiyo ukapata umeme? Acha ujinga hakuna umeme wa 27 Wala haijawahi kuwepo Kwa mjini never.Aisee hii sijui mara ya ngapi nimerudia hii REA (Vijijini) Kuunganishwa ilikuwa 27K na hii ni kwamba kila mtu kwenye LUKU yake analipia kama Tozo kila unavyonunua UMEME (Mradi wa REA) JPM alivyokuja akasema kila mtu aunganishwa kwa 27K bila kujali kama ni kijijini mpaka Mjini..., Samia kaingia na yeye akasema itaendelea kuwa hivyo..., Zikaanza Sarakasi za Makamba kuhusu gharama n.k...., Samia akapiga U-Turn kwamba gharama ni kubwa kila mtu hawezi kuunganishwa kwa 27K
Sasa sielewi unachobisha hapa ni nini..., nilidhani nilivyokupa taarifa kabla ulielewa na sio kuendelea kubisha vitu ambavyo vipo wazi kabisa
Yani
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma.
“Mh. Waziri Mkuu kwa sasa hivi tunavyopngea tuna mitambo karibu mitano ipo nje, haifanyi kazi yoyote ni kwamba tu mahitaji yapo chini uzalishaji upo mwingi kwahiyo tumeiweka tu stand by kwa ajili ya kusubiria mahitaji yakiwa juu tunaiwasha, karibia megawats 175, umeme tunaozalisha ni mwingi mahitajii ni madogo Nchi nzima, narudia tuna mitambo mitano minne Kituo cha Kinyerezi I na mmoja Kituo cha Ubungo III, hii mitambo tumeizima kwasababu mahitaji yapo chini na uzalishaji wa umeme ni mwingi imebidi tuizime, kuhusu mgao hamna mgao kwa sasa”
Millard Ayo
😁😁 Hawa jamaa wanapenda sana media kuseek attention...Yani Umeme umekaa sawa kdg tu washawahi kwenye mic kubwabwaja
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja Vya Bunge Jijini Dodoma.
“Mh. Waziri Mkuu kwa sasa hivi tunavyopngea tuna mitambo karibu mitano ipo nje, haifanyi kazi yoyote ni kwamba tu mahitaji yapo chini uzalishaji upo mwingi kwahiyo tumeiweka tu stand by kwa ajili ya kusubiria mahitaji yakiwa juu tunaiwasha, karibia megawats 175, umeme tunaozalisha ni mwingi mahitajii ni madogo Nchi nzima, narudia tuna mitambo mitano minne Kituo cha Kinyerezi I na mmoja Kituo cha Ubungo III, hii mitambo tumeizima kwasababu mahitaji yapo chini na uzalishaji wa umeme ni mwingi imebidi tuizime, kuhusu mgao hamna mgao kwa sasa”
Millard Ayo
Acha upuuzi kuna jamaa wengi waliunganishwa kwa 27K amekuja Samia akasema itaendelea matokeo yake watu wakawa wanatoa 27K wanaambiwa hakuna Nguzo baadae Samia akafuta kabisa huo Utaratibu...Baada ya JPM kusema iwe 27k,wewe hapo Mjini uliwahi lipa hiyo ukapata umeme? Acha ujinga hakuna umeme wa 27 Wala haijawahi kuwepo Kwa mjini never.
Popote pale kwenye mradi wa rea iwe mjini(Pembezoni mwa Miji)au Kijijini bei ni 27k
Narudia kukwambia wewe ni mpuuzi na mjinga.Acha upuuzi kuna jamaa wengi waliunganishwa kwa 27K amekuja Samia akasema itaendelea matokeo yake watu wakawa wanatoa 27K wanaambiwa hakuna Nguzo baadae Samia akafuta kabisa huo Utaratibu...
Sasa tuache kubishana na facts tuongelee hata ngonjera zao kwamba kuunganisha watu kwa 27K ni gharama na hawawezi kufanya hivyo (ukizingatia nguzo ni zao na mita ni zao..., yaani mtu uwalipe ili ununue mali zao) na kwanini wasitoe hata bure ili watu watumie na wapate pesa kuliko kuzima mashine ambazo zingewaongezea pesa na kuzidisha uzalishaji kwa jamii ?
Hivi ni mimi naongea mambo mazito au ni wewe uelewa wako una walakini ?
Rudia kusoma ninachojibu nadhani hapa najirudia kama santuri mbovu Jibu haya maswali...Narudia kukwambia wewe ni mpuuzi na mjinga.
Jamaa wengi wapi hao? Ulivyo kima huelewi kwamba Kuna mradi wa Rea wa Vitongoji na Miata ya pembezoni mwa Miji inatekelezwa Kwa 27,000.
Hakuna mtu yeyote aliyewahi lipia 27,000 Tanesco akapata umeme, habari za Jamaa zako kamsimulie mkeo.